Recent content by Mtwaz1

  1. Mtwaz1

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe watangazaji maarufu Radio one enzi hizo

    Bujaga Izango Kadago na Karim Besta RTD enzi hizo
  2. Mtwaz1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Zambia zamu ya Kenya, China mbioni kutaifisha SGR kulipia deni

    Ukila cha mchina jiandae kumpa chake. Ukila cha Mzungu masharti baba ''Kubalini ndoa za jinsi Moja''. Utaweza masharti hayo?
  3. Mtwaz1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsene Wenger in Kenya

    Acha kumbwelambwela toa takwimu ya GDP ya Nairobi na ya Tanzania. Tunazungumza GDP jumuishi na uchumi funganishi na maisha ya watu sio watu watatu wa kabila Fulani tu?
  4. Mtwaz1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsene Wenger in Kenya

    Utajua mwenyewe
  5. Mtwaz1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsene Wenger in Kenya

    Kanywe chang'aa huko Njoro. Hatuwezi kukaa na kujadili upuuzi usio na tija. Ni upumbavu wa hali ya juu kujadili JKIA hata uwe uwanja mkubwa sana hautuhusu sisi. DAR yatosha ndege kubwa na ndogo zatua na biashara zinaendelea. Watalii sasa wanaungana na kuchukua ndege za kwao wanakuja nazo...
  6. Mtwaz1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsene Wenger in Kenya

    Nairobi ni kitu gani kwetu kwa sasa. DAR ndio kila kitu kwa sasa. Nakuoneni fala sana kila mkiandika na kutuma jumbe zenu lazima mtaje Dar. Dar inakuhusu nini wewe mpuuzi. Tajeni miji mingine ya Afrika Mashariki. Sisi tunamiliki ndege za sisi wenyewe hatuna za ndondo za kuchangia na Mzungu. Tupo...
  7. Mtwaz1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsene Wenger in Kenya

    Nasema Kenya mnapata tabu sana! Wivu umewajaa. Tanzania inazidi kuchanja mbuga. Huyo Theresa May akija Kenya itakuwa Uingereza? Acha ushamba kaka. Anakuja, analala na anaondoka nyie mnabaki na njaa zenu, ufisadi wenu na ukabila wenu.
  8. Mtwaz1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsene Wenger in Kenya

    Waambie umiliki wa Serikali kwenye hizo ndege za shirika la ndege la Kenya ni asilimia ngapi? Tanzania tunanunua ndege za kwetu wenyewe sio za kuchanga na Mjomba wala Mzungu. Nitafutie Air Kenya ina ndege zenye kiwango gani? Uchafu mtupu. Na sasa hivi mtaisoma namba. Uganda ameagiza ndege zake...
  9. Mtwaz1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsene Wenger in Kenya

    Wamekamatwa pabaya hawa. Kupita kwa Wenger kuna tija gani kwetu? Ama kweli nyani haoni kundule ''Rushwa na Ukabila vinawapa taabu saaaaana''.
  10. Mtwaz1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsene Wenger in Kenya

    Nairobi inatuhusu nini sisi? Ujinga tu wa kujisifia.
  11. Mtwaz1

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Huu ndiyo Ukumbi wa Halmashauri ya Busokelo

    Umeona eeeh! Halafu mwandishi kilaza kama huyu anasema anachangia katika platform ya Great thinkers? No wonder seeing him tagging himself a Jamii forum think tank of all times. I think he better polymerize his cerebral peduncles than posting such kind of broccholi vomitus. Shame upon him!
  12. Mtwaz1

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Huu ndiyo Ukumbi wa Halmashauri ya Busokelo

    Kwa hiyo mkikusanya pesa nyingi ndio mnakiuka sheria na kanuni za usimamizi wa miradi ya Serikali? Temeke, Kinondoni, Mufindi watasemaje? Acha kutuhadaa!
  13. Mtwaz1

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Huu ndiyo Ukumbi wa Halmashauri ya Busokelo

    Mleta hoja umeona Ramani ya jengo la utawala la Busokelo? Jengo limeshaanza kujengwa. Ulishindwa hata kumuuliza Emmanuel Lengwa akupe uzoefu ni wapi linajengwa jengo la Utawala lenye Ukumbi wa Kisasa la Halmashauri?
  14. Mtwaz1

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Huu ndiyo Ukumbi wa Halmashauri ya Busokelo

    Umeumbuka unatafutia kick ya uteuzi Busokelo. Kwanza nawasifu sana Busokelo kwa kujenga ukumbi wa muda ili waondokane na gharama za kukodi ukumbi Mara kwa Mara. Busokelo Hongereni sana kwa kujiongeza na ndio maana Katika Halmashauri zinazofanya vizuri Tanzania ni pamoja na nyie Busokelo. Huyu...
  15. Mtwaz1

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Huu ndiyo Ukumbi wa Halmashauri ya Busokelo

    Mleta hoja amekurupuka. Nashauri angemuona DED au Mwenyekiti wa Halmashauri angepata maelezo mazuri ambayo yangekinza hiki alichokiandika. Fanyeni utafiti kabla ya kurusha picha na maelezo ya uongo. ''Don't make a home of great thinkers the home of Myopic thinkers''. Ungeuliza DED kwamba huo...
Back
Top Bottom