Recent content by mtwana

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson ana uroho wa Madaraka

    ni wachache mno wataokua na busara kuwacha kiti
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bahati mbaya hatujawahi kupata Mzanzibar aliyepigiwa kura kuwa Rais wa Tanzania Bara, hatutegemei hili litokee tena

    Nani aliekudanganya kama wazanzibari wananufaika na kivipi wananufaika
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bahati mbaya hatujawahi kupata Mzanzibar aliyepigiwa kura kuwa Rais wa Tanzania Bara, hatutegemei hili litokee tena

    kwani akia na chembe ya uarabu ndio tatizo wacheni ubaguzi huo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bahati mbaya hatujawahi kupata Mzanzibar aliyepigiwa kura kuwa Rais wa Tanzania Bara, hatutegemei hili litokee tena

    NI kweli ila ndio mana wazanzibari wanayoipenda nchi yao ya zanzibar tunataka huu Muungano kuwe na usawa maana kwa zanzibar hauleti tija hata uwepo wake kwa kweli
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni wangapi walioomba Mamlaka za Tanzania kumuachia Mbowe bila Masharti kabla ya leo?

    Sasa ulitaka asemeje si ungekwenda wewe na useme ulichokua nacho
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wazanzibari wengi wanautweza Utanzania, shida ipo wapi?

    In Sha Allah havitozama suala la Muungano sio tatizo hata leo uvunjike hakuna shida na ishu kua Islamic State ni ndoto kwa kila muislam kuwe na dola ya Kiislam Zanzibar itakuwepo na itazidi kuwepo In Sha Allah
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wazanzibari wengi wanautweza Utanzania, shida ipo wapi?

    Hoja nzuri uliyoileta ni ukweli usiofichika kwa maana naweza kusema kua Wazanzibari wengi tunapenda kuitwa Mzanzibari na tena hujisikia faraja sana tukiitwa Mzanzibari kuliko mtanzania maana hata katika historia Zanzibar ilikuwepo mwanzo kuliko hiyo tanzania sio vibaya nawewe ukapenda na ukaona...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wana CCM tuambieni Tanzania ilipata uhuru tarehe, mwezi na mwaka gani?

    kwa kweli jambo nalojiuliza kila siku hivi ni kweli tanzania ilipata uhuru? ama tanganyika ndio iliyopata uhuru jamani ukweli usemwe kua hakuna nchi duniani iliyopata uhuru inayoitwa wa tanzania au tanzania bara...kwani tukisema tanganyika ni dhambi?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Haki na Amani

    Tupo ukingoni mwa zoezi letu la kupiga kura kwa kuchagua viongozi wataoweza kutuvusha katika miaka mitano mengine Dhima ya kuingia kwenye uchaguzi ni wananchi kuchagua kiongozi wanaomfaa na kumchagua yupi ataeweza kuleta maendeleo. Suala la kuchagua kiongozi sio jambo la mtu kulazimishwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yashindwa tena kuwaleta Mahakamani watuhumiwa wa Ugaidi, yasema italihamisha shauri Mahakama Kuu

    Hakika haya yana mwisho wake Ipo Siku watakua Huru na waliohusika kuwanyima haki yao Mashehe wetu In Sha Allah malipo yataanza duniani kabla ya kesho Akhera Amin
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa ACT wapokelewa Pemba, Maalim Seif amshangaa Rais Magufuli kusema uchaguzi utakuwa huru ilhali hakuna dalili

    kua anatembelea na mkongojo ndio hana haki ya kugombea au
  12. M

    JamiiForums Tanzania Amani ya Nchi na Uchaguzi

    Habari Zenu wana Ukumbi, Baada ya salamu Napenda kuwasihi sana Watanzania wenzangu kuwa tunaelekea katika kipindi cha uchaguzi. Tujitokezeni kwa wingi ktk Kampeni na tudumishe amani mda wote na ikibidi kampeni zetu ziwe za kistaarabu. Matusi sio silaha ya kumuangusha mpinzani wako, ila sera...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dua ya kuombea Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2020

    Wana ukumbi habari zenu, Ama baada ya salamu, nlikua nina Ombi kutoka kwenu kwa ajli ya nchi yetu. Ama kwa ombi lenyewe ni kuomba Dua kwa aliyetuumba, atujaalie uchaguzi wa safari hii uwe wa huru na wa haki tumuombe pia. Aliyetuumba kutupa Subra katika kila jambo na mwenye nia mbaya ya nchi...
Back
Top Bottom