PROF LIPUMBA: Hazina pekee yenye nguvu kubwa ya ushawishi iliyobaki upinzani 2020

Zamani nilikua sielewi zile stori za abuniwasi zilimaanisha nini. ila sasa nimeelewa, kumbe maa abunuwasi wapo wengina wanaishi. Abunuasi anaamua kudnganya watu kwa mfalme kuna wali unaliwa huko,alipoona watu wanaenda na hawarudi,akajisemea mwenyewe kimoyo moyo mmh isije ikawa kuna mlo kweli huko kwa mfalme.mwisho akadanganya watu na hatimae kujidanganya na yeye. Sasa wewe ukweli unaujua ila ni kama Abunuwasi umeamua ujidanganye mwenyewe lakini uwezo wa prof ni obvious
Sijui umeandika nini ,soma kwa suati ulicho andika huku unavuka barabara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ya
Kwanza kabisa jamaa hana siasa za propaganda ni mpambanaji kweli tangu ameanza siasa zake utamuona front line. Pili sio mwanasiasa wa kupinga kila kitu,ukiangalia comment zake nyingi kwa serikali ni kupinga panapostahiki na kupngeza au kuunga mkono panapostahiki.

Tatu jamaa ni msomi aliyebobea kipaji maalum IQ yake iko kuleee ndio maana maamuzianayoyafanya leo wewe utakuja kuyaelewa miaka 3-5 mbele. Nne jamaa anajua anachokifanya na mpaka atakwenda kaburini bado atabaki kuwa ni alama ya upinzani wa kweli Tanzania,hana kiburi hana ghilba,wivu, umimi, kujitia ukuu, ukubwa ,ubwanyenye,umwinyi bali yeye ni mtu wa watu.

Mtu anaeamini kwamba chama sio mali ya mtu na hata wanachama wa chama chake na viongozi wenzake wamekua wakiyasema waziwazi bla ya yeye kukasirika. lakini kwa upande mwingine washindani wake wanatumia sana uongo,ghilba, chuki, kuchafuana, propaganda nyingi sana mitandaoni kumchafua na kuzima image yake.

wamepata kundi fulani kwa kazi yao hiyo, hasa kwa hawa vijana wa siku hizi ambao kwao siasa ni matusi, uongo, propaganda za kuchafuana, na kupinga kila kitu.

Kizazi cha watanzania wa sasa, wazee wa nyuma ya keyboard. wao ndio waliomleta lowasa, na wakamsafisha na akawapiga chini laiti kama wangekuwa na akili basi wangemwendea prof na kumwomba radhi, ya kwamba ebwana eeh MTU MZITO, ULIKUWA SAHIHI KIPINDI KILE KUMKATAA YULE BWANA. Tusameheane tukae pamoja tujenge chama, lakini badala yake bado wanaendelea kumpaka matope profesa wa watu,kana kwamba wao walikua sahihi kumleta lowasa na hakijawatokea kitu. Mwisho wa yote nimefurahi kuona CUF inainuka wajumbe wa kila mikoa wamefika na inaonesha kabisa somo LIMEELEWEKA. PAMOJA NA PROF. LIPUMBA 2020
Yani hata like moooooooojaaaaaa khaaaaa lipumbubusha coment ndio mjue watu hawataki propaganda
 
Watanzania wanyonge wanaostahili kutetewa na sikutapeliwa kama alivyofanya mbowe na genge lake. mboweamefilisi akili za watu, muda, na mpaka maisha ya watu halafu leo jamaa anasema zile Mil 6 mumpe baba JJ, kweli wajinga ndio waliwao. karibu kaika chama chenye dira na muelekeo. prof lipumba ndani ya CUF mpya na yenye matumani.

Mbona nilisikia sikia kua Watanzania Wanyonge tayari wanatetewa na CCM mpya chini ya Jemedari wake. Kwwni kuna Watanzania wanyonge waliobaki ambao hawana mtetezi? Kwako Mkuu
 
Kwanza kabisa jamaa hana siasa za propaganda ni mpambanaji kweli tangu ameanza siasa zake utamuona front line. Pili sio mwanasiasa wa kupinga kila kitu,ukiangalia comment zake nyingi kwa serikali ni kupinga panapostahiki na kupngeza au kuunga mkono panapostahiki.

Tatu jamaa ni msomi aliyebobea kipaji maalum IQ yake iko kuleee ndio maana maamuzianayoyafanya leo wewe utakuja kuyaelewa miaka 3-5 mbele. Nne jamaa anajua anachokifanya na mpaka atakwenda kaburini bado atabaki kuwa ni alama ya upinzani wa kweli Tanzania,hana kiburi hana ghilba,wivu, umimi, kujitia ukuu, ukubwa ,ubwanyenye,umwinyi bali yeye ni mtu wa watu.

Mtu anaeamini kwamba chama sio mali ya mtu na hata wanachama wa chama chake na viongozi wenzake wamekua wakiyasema waziwazi bla ya yeye kukasirika. lakini kwa upande mwingine washindani wake wanatumia sana uongo,ghilba, chuki, kuchafuana, propaganda nyingi sana mitandaoni kumchafua na kuzima image yake.

wamepata kundi fulani kwa kazi yao hiyo, hasa kwa hawa vijana wa siku hizi ambao kwao siasa ni matusi, uongo, propaganda za kuchafuana, na kupinga kila kitu.

Kizazi cha watanzania wa sasa, wazee wa nyuma ya keyboard. wao ndio waliomleta lowasa, na wakamsafisha na akawapiga chini laiti kama wangekuwa na akili basi wangemwendea prof na kumwomba radhi, ya kwamba ebwana eeh MTU MZITO, ULIKUWA SAHIHI KIPINDI KILE KUMKATAA YULE BWANA. Tusameheane tukae pamoja tujenge chama, lakini badala yake bado wanaendelea kumpaka matope profesa wa watu,kana kwamba wao walikua sahihi kumleta lowasa na hakijawatokea kitu. Mwisho wa yote nimefurahi kuona CUF inainuka wajumbe wa kila mikoa wamefika na inaonesha kabisa somo LIMEELEWEKA. PAMOJA NA PROF. LIPUMBA 2020
MZEE WA MBEKENYERA NA NAMAHEMA UNAPIMA UPEPO SIO !?? CANDIDATE 2020 NI BENARD KAMILIUS MEMBE KUPITIA CCM !!
 
Huyo ndo tapeli wa siasa kuliko wote; alitelekeza watoto wana hangaika peke yao kwa kisingizio cha kumuogopa Lowassa, wabunge na madiwani wa chama chake wakahangaika kivyao,leo anarudi kusema mimi ndo babayenu,
 
Kwanza kabisa jamaa hana siasa za propaganda ni mpambanaji kweli tangu ameanza siasa zake utamuona front line. Pili sio mwanasiasa wa kupinga kila kitu,ukiangalia comment zake nyingi kwa serikali ni kupinga panapostahiki na kupngeza au kuunga mkono panapostahiki.

Tatu jamaa ni msomi aliyebobea kipaji maalum IQ yake iko kuleee ndio maana maamuzianayoyafanya leo wewe utakuja kuyaelewa miaka 3-5 mbele. Nne jamaa anajua anachokifanya na mpaka atakwenda kaburini bado atabaki kuwa ni alama ya upinzani wa kweli Tanzania,hana kiburi hana ghilba,wivu, umimi, kujitia ukuu, ukubwa ,ubwanyenye,umwinyi bali yeye ni mtu wa watu.

Mtu anaeamini kwamba chama sio mali ya mtu na hata wanachama wa chama chake na viongozi wenzake wamekua wakiyasema waziwazi bla ya yeye kukasirika. lakini kwa upande mwingine washindani wake wanatumia sana uongo,ghilba, chuki, kuchafuana, propaganda nyingi sana mitandaoni kumchafua na kuzima image yake.

wamepata kundi fulani kwa kazi yao hiyo, hasa kwa hawa vijana wa siku hizi ambao kwao siasa ni matusi, uongo, propaganda za kuchafuana, na kupinga kila kitu.

Kizazi cha watanzania wa sasa, wazee wa nyuma ya keyboard. wao ndio waliomleta lowasa, na wakamsafisha na akawapiga chini laiti kama wangekuwa na akili basi wangemwendea prof na kumwomba radhi, ya kwamba ebwana eeh MTU MZITO, ULIKUWA SAHIHI KIPINDI KILE KUMKATAA YULE BWANA. Tusameheane tukae pamoja tujenge chama, lakini badala yake bado wanaendelea kumpaka matope profesa wa watu,kana kwamba wao walikua sahihi kumleta lowasa na hakijawatokea kitu. Mwisho wa yote nimefurahi kuona CUF inainuka wajumbe wa kila mikoa wamefika na inaonesha kabisa somo LIMEELEWEKA. PAMOJA NA PROF. LIPUMBA 2020
Unaugua wewe
 
Back
Top Bottom