Recent content by mtuwao

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hii tabia inatokana na nini, Kwenu wapo?

    Kumi kwa wawili
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hii tabia inatokana na nini, Kwenu wapo?

    ...!!!mimi nina ushaidi na hilo mkuu jana tu naenda dukani namkuta muuza duka anapiga story za kiluga na ndugu yake nikamuuliza una white dent kubwa yani kama haniskii anaendelea kuongea na mwenzio kiluga aisei nilisonya nikaondoka nashangaa ananiita njoo nikuhudumie nikamjibu muhudumie uyo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

    Duh kwanza nijue ww ni mwanaume au mwanamke kama mwanaume una safari ndefu ya kuwa baba
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

    Nishawaita tayar kazi kwako kusikiliza wakubwa au kupuuzia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

    Mtazamo wako tu kutoa milioni moja sio kigezo cha kutohudumia familia
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

    Kumuacha ndo naharibu familia
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

    Uko wapi nikuletee
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

    Hapo umenena big up
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

    Asante wote mlionishauri ,na wengine walionifokea yote kwa yote nimeamua kuchukua maamuzi ya kuludi nyumbani kwetu nimpe nafasi ya yeye kujipanga kimaisha zaidi na tumekubaliana akiwa sawa kiuchumi basi ataichukua familia yake lakini pia sitomlazimisha akiamua pia kututelekeza ni maamuzi magumu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

    Bado huna point
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

    Hujui mana ya uanaume ww uchague kazi na hujui unakula nn bado hujapatwa na shida ukipatwa na shida hata legend utabeba
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

    Mtaji anapata wapi wa biashara bila kufanya kazi unahisi wanaume wote wanafanya kazi viwandan wanapenda ila unafanya kwa sababu maisha hayana huruma na kila kazi fanya kwa malengo ili utimize ndoto ya biashara unayotaka
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

    Msaada niliompa ni zaidi ya milioni
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

    Kwahy ulimuacha mkeo
Back
Top Bottom