Mzee hivi nahitaji kujua kwa nini huyu ANU aliruhusu hawa miungu iliyosamehewa ije iishi kwenye ground moja na Lucifer ambae aligoma kuomba msamaha ilihali akijua kuwa hivi viumbe tayari vina malengo tofauti yaani wengine wameomba msamaha na wengine wamekaza
Inakuwaje asihesabiwe kwenye sensa ilihali ni utaratibu wa nyumba kwa nyumba? Kusema sensa inabeba idadi ndogo ya watu ambao hufuatwa majumbani si sahihi kulinganisha na zoezi ambalo wananchi huenda wenyewe kwa hiyari yao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.