Recent content by Mtumwa wa Bwana

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kama tungeuza sana bidhaa nje ya nchi tungepata dola nyingi sana, sarafu yetu ingeimarika kuliko ya Kenya

    Nashukuru umesema haujasoma uchumi, maana mambo yangekuwa rahisi hivyo pesa ya Japan(Japanese yen) ingekuwa juu kuliko Ksh ya Kenya
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nini kilikusaidia kupata kazi?

    Nilimtanguliza Mungu kumwamini na kumtegemea kwa asilimia zote kuanzia mwanzo wa mchakato mpaka mwisho na maandalizi yangu yalikuwa ni mazuri kwa maana ya kusoma na kufanya mazoezi ya vitendo(Practical) ,saasa nimefanikiwa kupata kazi nzuri kuliko nilivyokuwa nafikiria, ni Mungu tu wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na Ajira za serikalini kupitia Utumishi

    Asante Mheshimiwa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na Ajira za serikalini kupitia Utumishi

    Hawajaita watu kwa upande wa Systems Administrator mheshimiwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na Ajira za serikalini kupitia Utumishi

    Sawa, Asante sana mheshimiwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na Ajira za serikalini kupitia Utumishi

    Bado imeandika received upande wa Application Status, Kiongozi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na Ajira za serikalini kupitia Utumishi

    Sijasema lazima waniite na wala sijaforce chochote kiongozi, nimeuliza kwa wenye kujua ,, ila shukrani
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na Ajira za serikalini kupitia Utumishi

    Ni Systems Administrator kiongozi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na Ajira za serikalini kupitia Utumishi

    Habari zenu waheshimiwa.Leo nimeona tangazo la kuitwa watu kwenye usaili NHC & TPC kupitia utumishi kama ilivyo kwenye document niliyo attachment hapo chini , MimiBinafsi niliomba nafasi ya Systems Administrator shirika la NHC ila kwenye kuitwa kwenye sahili Systems Administrator haipo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania MDH kimyaaa au mshawekana kindugu

    Oral itakuwa jumatatu mtaalam
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waliofanya usaili wa nafasi ya Data Officer MDH

    Umeshaitwa mtaalam?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mshahara wa Data Officer MDH

    Leo watu wamepigiwa simu waende interview kama nawe ni mmoja wao hongera mtaalam
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

    Expert Member humu jamii forum aliwahi ulizwa swali kama hili mwaka 2015,,,ungefanya kupitia uzi huu Dr. John Pombe Magufuli anaumwa nini?
Back
Top Bottom