Recent content by Mtumishiwetu

  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi Nchimbi vunja ukimya, Taifa linaelekea pabaya

    Balozi Emmanuel John Nchimbi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuandikia ujumbe huu nikikuomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa uvunje ukimya ulisaidie taifa. Nchi yetu inaelekea kubaya kumeibuka wimbi kubwa la matamko yanayolenga kuwagombanisha wakristo na Serikali...
  2. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Askari akiri kupewa ofa ya kumshambulia na kumwangamiza Luhaga Mpina kwa silaha. Asema maisha yake yako hatarini

    Akizungumza na wanahabari hivi, karibuni askari mmoja wa JKT amejitokeza na kusema kuwa alipigiwa simu na mtu asiyemfahamu na kupewa ofa ya kiasi cha pesa anachokitaka ili atekeleze shambulio dhidi ya Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina "Nilipigiwa simu kwa namba 0752352351 na huyo mtu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bashe anaumwa nini kwanini inakuwa Siri?

    Mimi sio kiongozi wa umma
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bashe anaumwa nini kwanini inakuwa Siri?

    yeye ni mtumishi wa Umma na analipwa mshahara na umma na anatibiwa na umma hilo nalo ulikumbuke
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bashe anaumwa nini kwanini inakuwa Siri?

    TAARIFA za kuumwa kwa Mheshimiwa Hussein Bashe zimetangazwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa lakini hadi sasa haijawekwa wazi anaumwa nini na amelazwa hospitali gani ili watanzania wenye nafasi waweze kumtembelea kama ni hospitali. Kwanini maradhi ya viongozi inakuwa siri lakini mtu akifa ndio...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya masaa 7 mfululizo ya Luhaga Mpina ina ujumbe gani kwa watanzania?

    nilisikilza mwanzo mwisho nimelia kwa uchungu sana hiyo speech inabidi ifike vyuo vikuu vyote ikafanyiwe uchambuzi wasomi waone namna nchi yao inavyoliwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Majimbo karibu yote Kanda ya Ziwa kuchagua wabunge wa upinzani

    Kweli Kanda ya Ziwa bado wana kilio kikubwa cha Mawaziri wao kutupwa kwenye Serikali ya sasa wanalia hakuna mwakilishi anapeleka shida zao baraza la mawaziri wanakumbuka walivyotumbuliwa Angelina Mabula (Ardhi), Mashimba Ndaki (Mifugo), Medard Kalemani (Nishati), Mary Masanja (Maliasili)...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Majimbo karibu yote Kanda ya Ziwa kuchagua wabunge wa upinzani

    Nasikia CHADEMA inakuja na wagombea wanaokubalika sana kwenye majimbo wakiwemo Maprofesa mnakumbuka enzi za Profesa Kulikoyela Kahigi Jimbo la Bukombe? msimu huu wanakuja na wagombea Mawakili, Watumishi wa Mungu mnakumbuka enzi za Mchungaji Israel Natse Jimbo la Karatu, Mchungaji Msigwa Jimbo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kitenge: Rais Samia, Mawaziri wanautaka urais 2025 waweke kando kabla ya Oktoba 30, 2022

    utabiri wa kitenge umetimia
  10. M

    JamiiForums Tanzania Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere

    kweli limejaa
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge atakayerudi bungeni namuona Waitara

    Niangalia Bunge linavyokwenda na uchawa ulivyoshika kasi Mbunge ambaye naona ana uhakika wa kurudi bungeni kama upepo usipokuwa mbaya ni Waitara, Kingu, Msukuma na Shigongo. uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu sana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba analaumiwa kwa kosa gani?

    Naomba watanzania wenzangu mnisaidie jambo moja kila siku nikiamka kwenye mitandao nakutana na mijadala mbalimbali inayomkosoa Januari Makamba lakini mpaka sasa najiuliza Makamba amewafanyia nini watanzania hadi mumchukie kiasi hicho? Kosa lake ni nini hasa? kama ni Wizara ya Nishati tayari...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tumewasikia watu wote, nini hitimisho la mjadala wa Bandari?

    Mjadala wa Bandari umeteka mitandao yote iwe Instagramu, Jamii Forums, Youtube, Twitter, Facebook na mitandao mingine, pia mjadala mkali kwenye vijiwe vya kahawa, mitaani na maeneo mbalimbali yanayokutanisha watu kila mtu akiongea la kwake. Tumeshamsikia Waziri Profesa Mbarawa, Tumemsikia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Bunge litajadili ushirikiano wa DP World na Bandari

    Wadhurike tu naunga mkono
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza Basila Mwanukuzi kupoteza nafasi ya U-DC Korogwe hiki hapa

    Duh. Wakurugenzi waliolalamikiwa utendaji mbovu wamebaki DC ndio ameng'oka
Back
Top Bottom