Recent content by mtumishiwaleo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni Halali kabisa Kuyumba Na Kupoteza Muelekeo kwa CHADEMA. Mnyika Elimu Kidato cha 6 Huku Heche Akiwa Na Elimu ya Hapa na pale. Wafuasi nao sifuri

    Tupate elimu ya Samia kwanza,mala nilipomaliza form 4 nilifeli nikaolewa nikazalishwa,mala cheti cha masijara, kwakweli Tanganyika tuna hari mbaya tunaongozwa na kipofu, lazima tutumbukie kwenye mashimo, according to bible ( Luka 6:39 Akawaambia mithali, Je! Aliye kipofu aweza kuongoza kipofu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Muasisi wa kuwafanya CCM na wabunge kukosa kauli na Kumuona Mwenyekiti kama Mungu ni Magufuli

    Hacha uongo wako hakina Kesi na Mkamia walimsifu sana Magufuli sana bungeni mpaka wakasema wabadirishe katiba iliaendelee kutawala, lakini kula za maoni zilipofika wakaliwa vichwa hawakurudi tena bungeni,danganyeni watoto wenzenu huko
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kabudi: Mungu akishawapa kiongozi, mumpende mumheshimu, hakujileta mwenyewe

    Ili Zee liongo Samweli alimwambia live Samweli kuwa Mungu amekukataa usiwe mfarume wa Israel Ili Mzee mwongo sana, Mungu alimkataa Sauli, pasipo kuficha kupitia Nabii Samweli ( 1 Samweli 15:23 Kwani kuasi ni kama dhambi ya uchawi, Na ukaidi ni kama ukafiri na vinyago; Kwa kuwa umelikataa neno...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Wazanzibar wote tulishikana katika Uchaguzi, ndio maana ikapandisha ushindi hadi 97%

    Mithali 28:16 Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana(Sasa kama alipata asi100 zote hizo kutekana kinatoka wapi!Wanalazimisha maliziano ya nini! Wakati Watanganyika waliwachagua kwa kishindo hicho?Hakawadanganye Wazanzibari wenziwe, Sio sisi Watanganyika,Mwaka unakatika hata kwenda...
  5. M

    JamiiForums Tanzania THE GOAT WHO STOOD FIRM: Nguvu ya Simba, Ukaidi wa Mbuzi

    Lissu aliisha wahi shirikiana na Mbowe kuuza chadema kwa Lowassa mzee wa Richmond,Sema mchaga ni mjanja alimkatia kidogo, ndio maana wakageukana.
  6. M

    JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu Prof Mussa Assad: Kuna Waziri Kijana ana ukwasi wa kutisha miaka mitano tu madarakani!!

    Makonda hana miaka 5 Kwenye Uwaziri,Hasadi kasema kijana kawa waziri miaka 5 kawa na ukwasi kibao.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Ziara ya Rais Samia Urusi imeleta 'Mtikisiko' wa Dunia

    Hatuwezi kusahau October 29, mpaka tuone makaburi ya ndugu zetu, hauwezi kupulizia kinyesi pafyumu heti kisitoe harufu, ndugu zetu warudi hayo mengine baadae,kwanza ilikuwa ziara ya family sio ya Serikali ndio maana alienda na wanawe.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    😄😃😃 Kimewalamba
  9. M

    JamiiForums Tanzania Padri Dkt. Kitima: Sasa hivi Watanzania wanawekezewa kuwa wajinga. Kazi yetu kubwa viongozi ni kuwapumbaza wale tunaowaongoza

    Magu nilini aliuza raslimali za taifa?acha ujinga,kumsingizia marehemu, Magufuli katiba kaikuta hakuna alichokifanya nje ya katiba, taifa hili lina Vijana wa hovyo, baada ya kuchukua hatu mnabaki lawama,huku nchi ikiteketea.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanaofikiria kumhujumu na kumkwamisha Rais wetu wanajisumbua

    ( Isaya 48:22 [22]Hapana amani kwa wabaya, asema BWANA. There is no peace, saith the LORD, unto the wicked.)Samia hawezi fanikiwa hata afanyeje,damu aliyoimwaga bure ya watanganyika itamtafuna tu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mchungaji Mashimo ahoji, Jaji Warioba amepata wapi takwimu za waliofariki?

    Huyu si alikuwa amefungwa kwa utapeli?Huyu sio mchungaji wala nabii ni tapeli tu,hata kama hakuna takwimu lasmi Watanganyika wengi waliuwawa,na ndio Maana Serikali ya CCM haitaki kutoa takwimu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CNN: Samia akiri kutoa amri ya kuua maelfu ya wananchi waliokuwa wakiandamana kudai haki zao

    Kuna msemo wa kiswahili unasema kuwa 'Ukitaka kumuua kumbikumbi mpe mabawa'Hotuba ya leo ya Samia walioianda wamemmaliza,na Yeye asivyoweza kuchanganua mambo kafuata hivyo hivyo,hajui watu wanatafuta ushaidi, ngoja tuone mwisho wa kiburi chake.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Huzuni sana! Mama yake na Niffer aangua kilio baada ya mwanae kurudishwa mahabusu

    Samia atakufa vibaya,mwaache awatese Watanganyika.
  14. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri mkuu Mwigulu: Wanaotaka mchome nchi yenu hawapo hapa wapo nje

    Mwenyewe,aliwahi kutuambia tuamie Burundi, Kwaiyo hiyo hoja yake ni mfu,Mseveni kuikomboa Uganda alikuwa Tanzania,Kagame alikuwa Uganda, uwezi kufanya ukombozi huko ndani ya nchi,ebu ona hakina Polepole walichofanyiwa,walisema wakiwa ndani ya nchi,Lissu mpaka Sasahivi mwezi wa 4 yuko jela...
  15. M

    JamiiForums Tanzania ICC yazidi kunukia kwa Samia na Wakuu wa Vyombo. Mbunge wa Congress Marekani ataka Uchunguzi huru Mauaji ya raia Tanzania

    Polepole alimwambia ahachie madaraka lasivo ataondoka kwa aibu wakamteka, Sasa aibu inamfuata, lazima ahaibike huyu bibi.
Back
Top Bottom