Recent content by Mtumishitu

  1. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dagaa kutoka ziwa victoria mkoani ni fursa jamani

    Leo DAGAA imeshuka bei 300,000/= kwa gunia Grade A .(40kgs) Furu imepanda bei 170,000/= kwa gunia. Isiyo ya mchanga(40kgs)
  2. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Jamani huku dagaa tayari zimeanza tusilale kizembe ziwa la watanzania

    Leo DAGAA imeshuka bei 300,000/= kwa gunia Grade A .(40kgs) Furu imepanda bei 170,000/= kwa gunia. Isiyo ya mchanga(40kgs). N:B. bei ya leo
  3. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Kama huamini uchawi kwenye biashara basi wewe bado sana kwenye biashara,sitasahau hili tukio

    Hahahahha, Mbona YOUTUBE hamwafokei hivi mkuu???😂😂😂 video una click hii wanakuletea Ads😂😂😂😂
  4. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Kama huamini uchawi kwenye biashara basi wewe bado sana kwenye biashara,sitasahau hili tukio

    Boss una uhakika na unachoandika kuwa dagaa zinavuliwa hivo???
  5. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Kama huamini uchawi kwenye biashara basi wewe bado sana kwenye biashara,sitasahau hili tukio

    Ngoja uje kutana na watu wenye dawa kali utarudi kutwambia,,sikia tu uchawi
  6. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Kama huamini uchawi kwenye biashara basi wewe bado sana kwenye biashara,sitasahau hili tukio

    Apana sio,mbaya nikiweka Tangazo kidogo mkuu ata wewe unaweza changia ofsi kwa hiyo namba. Je ni dhambi ???
  7. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Kama huamini uchawi kwenye biashara basi wewe bado sana kwenye biashara,sitasahau hili tukio

    Kwa nini wasiendelee mkuu???serikalini hakuna uchawi kumbuka ,ukienda kushtaki unakuwa unapoteza muda tu. Lazima waendelee maana sio wote wenye tabia ya hivo
  8. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Kama huamini uchawi kwenye biashara basi wewe bado sana kwenye biashara,sitasahau hili tukio

    Watu wanaleta pyala pyala pyala hapa hujakutana na wachawi wewe ,na omba sana isije kukuta live
  9. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Kama huamini uchawi kwenye biashara basi wewe bado sana kwenye biashara,sitasahau hili tukio

    What is Magic ????magic sio uchawi ???
  10. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Kama huamini uchawi kwenye biashara basi wewe bado sana kwenye biashara,sitasahau hili tukio

    Uchawi upo jamani,asie amini asiombe yamkute wala sibishe hii kitu
  11. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Kama huamini uchawi kwenye biashara basi wewe bado sana kwenye biashara,sitasahau hili tukio

    Hii kitu hiwezi amini ,ikikukuta utaona unaota
Back
Top Bottom