Recent content by mtumishih

  1. M

    Musoma: Vijana waliodeki barabara ili Lowassa apite wakamatwa na polisi

    Jamani kwanini tunaonewa kiasi hiki? mbona wafagia barabara wanalipwa kwakazi hiyo; leo kwakuwa ni usafi umefanywa kwa ajili ya chadema imekuwa nongwa but ol in ol 25 Oct co mbali yatakwisha tu haya
  2. M

    Wito kwa walimu wenzangu, tuseme yatosha CWT-CCM

    Hiv waziri co mtumishi wa umma?!! mbona wapo kwenye kampeni zakisiasa huko!!
  3. M

    GE2015 Magufuli aliongea na Mh. Waziri Kigoda akiwa ICU!

    Eti ndo awe rais huyu?!! hiv atatuwakilisha vp kimataifa? watanzania wote tutaonekana mambulula kwa kumchagua
  4. M

    Balozi Juma Mwapachu ajivua uanachama wa CCM, hajaamua kujiunga na chama kingine

    Then akajificha ndani ya serikali ya ccm na ninyi mkamnyamazia tu leo mnaropoka eti fisadi...awe fisadi awe nani...ukawa no turning back hii ni mpaka ikulu
  5. M

    Ufoo Saro na Malumbano ya hoja

    Tena nakiswahili chake cha kuchapia basi anazidi kubwa kero kweli.mwenzie J.Kapalatu kakaa kimya nadhani alisoma salama za nyakati wasionekane wote kubwa wajinga.
  6. M

    Kweli Prof Lipumba tutakukumbuka

    kumkumbuka huko mi nilijua naye rip kwenye Yale makanyagano
Back
Top Bottom