Recent content by mtumishif

  1. M

    Waziri Mkuu Majaliwa ndani ya Bandari tena. Makontena zaidi ya 2,400 yamepita bila kodi

    Nimekukubali UKAWA mwenzangu kuna wezi waliopo ccm wanachukia anachofanya JPM kama hawa wa vikatuni na mkwere mtoto
  2. M

    Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

    Kweli kuna watu wengine wajinga sana watu wanafanyakazi mtu anafikiria udini ndugu yangu elimu ni muhimu sana kuliko ujinga wako TRA wamekiri na hata Azam wamekiri mpaka wakapeleka check ikakataliwa wamemwambia subiri utalipa pamoja na penult wewe unafikiria udini WEWE JINGA SANA
  3. M

    Mshahara wa Nehemia Mchechu wa NHC ni USD 19,000 kwa mwezi

    Huna akiri au umeishia darasa la pili
  4. M

    Mshahara wa Nehemia Mchechu wa NHC ni USD 19,000 kwa mwezi

    Mimi nina wasiwasi na uwezo wako wa elimu au akiri yako sijui kama iko sawa sawa pia huenda umeishia darasa la pili kwa kuwa hujui lolote kuhusu nchi ina mahusiano gani na mashirika ya umma
  5. M

    Mbowe, hivi umeenda bungeni kusaidia wapiga kura wako au wa Z'bar?

    Mimi nafikiri uwezo wako wa kufikiri uko zaidi kiccm mbona rais na ccm wanasema wataulinda muungano na pia jua kuwa bila UKAWA hii nchi isingefika hapa tulipo kwenye uchaguzi wa mwaka huu na CUF ni sehemu ya ukawa mwache zito abakie lakini wananchi tunajua umuhimu wa ukawa ndio maana tunadai...
  6. M

    Baada ya Wizara ya Fedha na Muhimbili, Wafuatao ni...

    Mimi naamini anachofanya ni kizuri anawaelekeza mawaziri wake atakao wachagua kuwa wawe wafuatiliaji wasikae maofisini tu huu ni mwanzo mzuri
  7. M

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Kweli usilolijua ni usiku wa giza nakwambia hivi hao watu alionaokwenye gari kula zote ni zake na watawashawishi na ndugu zao mbona nyie jana mmegawa tisheti bule na usafiri pamoja na pesa ya kula mwache lowasa apige kampeni kisayansi
  8. M

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Kweli huyu lowasa atawakondesha kila anachofanya kibaya au fisadi we subiri huyu ndie raisi wa Tanzania
  9. M

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Kweli ndugu yangu wameyataka mafuriko kwa gharama wamekodi magari na posho kwa kila mwendaji kwenye mkutano iLI WATALIWEZA hiyo pesa tutakula lakini kilala ni kwa Lowasa
  10. M

    ONYO: Makongoro Nyerere kabla hujafa hujaumbika

    Kwani makongoro yupi huyo? Si yule tuliempa ubungu arusha akawa anajikojolea na kuingia kwenye mitalo ebu mpuzeni
  11. M

    Mgombea Ubunge Sikonge, Said Nkumba (CHADEMA) arejea rasmi CCM

    Nenda shule hujui ilisemalo nia yetu ni kuwa na vyama pinzani ndani ya bunge vyenye nguvu ili hoja zote zipite kwa faida ya wananchi ambao ndio wapiga kula
  12. M

    GE2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Ukiona mtu familia imemshinda jua hata uwezo wake wa kufiri uko chini hata kama ni kiongozi mkubwa
  13. M

    Huu ndio ukweli unaomuhusu Lowassa, Prof. Lipumba, Dr. Slaa, Seif na Mbowe

    Nafikili wewe akiri yako ni juu ya ccm tu lakini hufikirii kuwa watu wote tulitoka ccm ebu kumbuka kama una umli mkubwa kidogo ulikuwa huwezi kuingia chuo au elimu ya juu bila kadi za ccm hivyo kuhama mtu sio kosa pili hata kama dr. Slaa na pro. Lipumba wasingeweza kumshinda makufuli labda kama...
  14. M

    Wema arudi Singida kushindana na Tundu Lissu

    Mwambie aende kwa watoto wenzake hapa tunajadili mambo ya maana sio ya kwenda kukaa uchi bungeni
  15. M

    Wema arudi Singida kushindana na Tundu Lissu

    Kumbe hawa watu wa ccm wakati furani wana akili waliweza hata kumkataa wema
Back
Top Bottom