Huyu Mrema atafute kazi ya kufanya. Nafikiri akina Lisu wampuuze tu. Yeye alikuwa mshika fedha wa Chadema muda mrefu. Yeye mbona hajawahi kutoa hesabu adharani. Hiki ni kiazi.
Acha uongo. Wachaga mmekuwa na masifa sana siku hizi kama watu fulani. Wachaga ni wabantu na asili ya wabantu siyo huko uliko eleza. Hizi ni porojo za abunuasi. Wenye asili ya huko Ethiopia ni Wamasai na Wairaq. Ninyi ni wabantu na lugha na tamaduni zinabainisha hilo.
Uongo mwingine kwenye...
Duh! Deliberately extending time on the expenses of its citizens life? Seriously? When they started the war that was their ambition to capture Ukrainian President but now it is more than two years and they are now asking assistance from North Korea. We were made to belive that Russia is a Super...
Siyo lazima ukoo usign. Kama hakuna maelewano katika ukoo mahakama inasikiliza case na kufanya maamuzi ya nani awe msimamizi. Ikiona kwamba hakuna anayefaa kuwa msimamizi inaweza kuweka RITA isimamie mgawanyo wa mali.
Warusi manajipa mahope. Huu mwaka wa Tatu maendeleo ya vita ni madogo mno kwa Urusi. Ukubwa tunaoaminishwa wa Urusi zi huu unao onekena mwaka wa tatu sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.