Recent content by mtumepauli

  1. M

    TAARIFA KWA SERIKALI: Bugando HospitaL total tools down kuanzia sasa..

    subutu yao?,wajaribu kuja waone, halothane si tunayo? tuone kama wana antdote.
  2. M

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

    sio kusitisha tu waseme kabisa na jinsi wale wagonjwa waliopo mawodini wanavyokata roho kila baada ya dk 1 kwa kukosa huduma ya madaktari toka jana. waseme tu ukweli ujulikane jamani.hali ni mbaya sana huku muhimbili motuary imefurika hakufai.
  3. M

    Wabunge wa CCM wameingia mitini

    wabunge wa ccm nao wamegoma kuunga mkono madactari. kaazi kweli mwaka huu.jk kazi unayo.utatoboa kweli 2015? na wanajeshi wanajipanga kugoma
  4. M

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

    mkuu hakuna daktari mbunge hata mmoja hapa nchini mwenye uwezo wa kufanya upasuaji wa moyo au wa ubongo, hakuna hata mwanajeshi mmoja anayeweza. propaganda hazitasaidia kusolve huu mgogoro wa madaktari hima serikali kubalini mmeshindwa
  5. M

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

    wanasiasa woote wa ccm ni freemasons hawaamini mungu hawa. washtaki kwa wananchi waliowapigia kura.
Back
Top Bottom