Recent content by mtume wawatu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu namna gani nawezablock users kwenye routers hizi za Sirtel? I mean airtel.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    mkuu unatumia iptv gani? unaizungumziaje waka tv"
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    lakini mkuu nimcpafupa c channels za azamsports sizioni. je, ziko sehemu gani′?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    hii na wakatv inakuwa na tofauti gani? nawezaa pata channels nyingi kama waka.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    mkuu salaam kwako. ipi iptv bora zaidi ya wakatv? maana cfanncls za azam sports zinagoma.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    unaweza kuwa na best sollution pc ya amd kwa bei fhiyo?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    https://www.facebook.com/61575976386278/videos/1255486506342524/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v mkuu kuna hii pc hapa angalia kama k kwa bei hii ni sahihi au hawa jamaa wanatupiga?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hi kulioa 'aa. kulipa kwa mkupuo ndo inakuwaje?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tujuzane printer nzuri kwa ajili ya kazi tofauti tofauti

    naamndugu naomba sasa baada ya kutoa ya moyoni na angalizo, pendekpendekeza printer nzuri ya kazi hiyo na bei.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Printer gani itafaa kwa matumizi ya ofisi ndogo

    mkuu hii printer inaweza kuprint hata cd aau hard-covers? je, wale wanaoprint picha wanatumia printer ipi?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    mkuu sasalamu zako. naomba unielezee hiki kitu. jf kwa sasa napata tabu kufungua hizi picha. natumia simu kwa kutumia screen-reader. jf kwetu watu tusioona inatusumbua tangu waibadilishe.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    kiongozi, ushenzi wa airtel ni upi? uaweza ukatufafanulia hapa kiundani tukafahamu maana mimi natumia rouuter yao hapa.
  13. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia yawakosha Watanzania. Waomba irudiwe kwenye vyombo vya habari kwa mwezi mzima mfululizo

    mikuu unapost kwa kutumia vpn hlafu unamnwsifia mama.
Back
Top Bottom