Recent content by Mtumaini Mungu

  1. Mtumaini Mungu

    Naomba msaada wako tafadhali ili nipate matibabu

    Hio ni namba yangu na imesajiliwa kwa majina yangu, nimelazwa hapa Hospital ya rufaa Ligula. Kama Kuna ushauidi utahitaji ukinitafuta kwa namba hiyo NITAKUTUMIA.
  2. Mtumaini Mungu

    Naomba msaada wako tafadhali ili nipate matibabu

    Asante sana kaka. Nitumie meseji au nipigie kwenye hiyo namba yangu. NIMESHINDWA kuweka documents za hospital kwasababu ya PRIVACY YANGU Lakini endapo mtu atahitaji basi sina budi kumtumia ili nisaidiwe.
  3. Mtumaini Mungu

    Naomba msaada wako tafadhali ili nipate matibabu

    Asante sana mkuu, Mema unayo niombea Mimi Mungu mwenyezi aliye hai akupe zaidi ya wema huo. Hapa kwenye control number sijaelewa vizuri, je kituo ndo kinatakiwa kutengeneza hiyo number au ni Mimi? Kama ni Mimi naomba nifahamishwe namna ya kutengeneza.
  4. Mtumaini Mungu

    Naomba msaada wako tafadhali ili nipate matibabu

    Naliinua na kulitukuza jina lako We Bwana, Baba Muumba wa vyote vyenye uhai na visivyo hai. Habari zangu ndugu zangu, imekuwa karibu miezi miwili nikiwa kimya hapa jukwaani, sababu hasa za ukimya wangu ni maradhi yanayonisumbua na kunitesa kiasi kupelekea kutomudu majukumu yangu ipasavyo. Mwezi...
  5. Mtumaini Mungu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wazee wa Londooo😂 Tukutane mkikaribia pass out..
  6. Mtumaini Mungu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Rudisha Avatar yako mtaalam wa matibabu
  7. Mtumaini Mungu

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Rudisha Avatar yako. Kama midabwaaaa kumbe midabwaksiiiii
  8. Mtumaini Mungu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Uzi wetu wa KUKUZA ID zetu... Watu wanaanza na "New Member" mpaka "JF Expert Member" kwenye THREAD hii hii tu.. Ama kweli Majeshi matamuu, MAMA MWAGA NYINGINE. Awiiih...
  9. Mtumaini Mungu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Jikaze wewe mwanaume kijana. Mungu hapendi wenye mashaka na hata wasiojituma. Kila la kheri, Mungu akutendee kadiri ya UKWELI WA MOYO WAKO.
  10. Mtumaini Mungu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Za WASOMI hizooooo... Makamanda wateulee, mnaendeleaje na maandalizi?
  11. Mtumaini Mungu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wazee wa ma-back up. Wa-kujikoti.. Mamwelaaa mmelala? Doria zamu ya nani? Awiiiiiih
  12. Mtumaini Mungu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hahahahah. Tambala tayari, kama wanalikataa ukiwachoresha wanalinyaka.
  13. Mtumaini Mungu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hahahahah Kipindi hiki wazee wa lonjaa walikata motoooo... Pumzi ndogoooo route ndefu. Awiiiiiih
  14. Mtumaini Mungu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Vijana wametoka nao mbali sanaaaa... Toka 18/08/2021. Juzi ndio umetimiza page ya 100, leo 110+. Mkuu umeukutia page ya ngapi?
  15. Mtumaini Mungu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Manjaguuuu Awiiiiiih..
Back
Top Bottom