Recent content by Mtuiz

  1. Mtuiz

    Kuendesha PlayStation (Playstation Management)

    Habari gani👋🏾 Je kuna mtu yoyote ambae ana experience ya kuendesha Play station?🎮 Je unazijua changamoto? Je zinatatuliwaje? Zipi mbinu za kuvuta watu zaidi? Games zipi ni pendwa zaidi? Decorations za ndani zipi zinavutia zaidi? Kwa sasa watu wanapenda Ps4 au Ps5? Yapi maswali mengi ya kujiuliza...
  2. Mtuiz

    Napoleon's Oraculum and Dream Book

    Hiki kitabu ni kweli hata mimi nakitumia na majibu mengine nayashuhudia kabisa
  3. Mtuiz

    Ifahamu kwa kifupi Korea Kaskazini

    Umesahau kusema kuwa kuna adhabu ya vizazi...yaani ukifanya kosa ww hata mjukuu wako au babu yupo hatiani!! Kila nyumba ina picha ya Viongozi hao watatu tangu babu yake na wakaguzi wakiikuta ina vumbi au imeharibika kivyovyote adhabu itakuhusu!! Kila rais atakapokuwa na hafla ni lazima upige...
Back
Top Bottom