Mkuu kwani maisha yanaanza tumboni kwa Mama au kwa Baba, kwani bila Baba mama anaweza kupata mtoto
Naamaanisha sio kwamba bila Baba, wengi hii miili yetu si ingekuwa chooni kama bleed (hedhi)
Ninachojua mimi kila kitu kinaanza na neno, mimi navifikiria tu sana vitu kisha nakuwa najiambia mwenyewe ndani bila kufanya matambiko yoyote hata kwa wasio wa dini walimwengu wana sheria yao wenyewe wanasema
"Law of Attraction"
Yohana 1:1-2
1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako...
Kitu JF wamekosea ni kutokuweka kipengele cha kublock mada za mtu fulani usizione, uone kile tu kinachokufaa
Huju jamaa Lucas Mwashambwa sijawahi kuona mada yake inayoniingia akilini kiufupi mada zake zote ni kichefuchefu lkn sina budi
Maxence Melo tusaidie kuna watu wanakera
Tukiachana na masuala ya dini kwanza, kwasababu sio dini ndo zimeleta uwepo wa Mungu
Ukizingatia dini kuu zilizopo mfano Uislam umeanza baada ya uwepo wa Mohhamad S.A.W, mtume huyo alidai kashushiwa kitabu kutoka mbiguni (Kuran) na hapo ndio ukawa mwanzo wake kitu ambacho kabla ya Mohhamad...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.