Magoli ya mikono hii hapa !!!!!!!!!!:-
1: Goli la kwanza: Katiba pendekezwa------- gooooooooooooooool
2: Goli la pili hilo limeingia:Miswada ya gesi..... goooooooooool
3: Goli la tatu hilo laja kwa kasi- sijui kama refa ataona faul kwenye penat eria...
Huyu hana shukrani maana hapimi nguvu ya chama chake kwamba ni kama hakuna kitu sasa apewe nafasi nyingi kwa msingi gani?. Huyu kama sikosei ni pandikizi wa sisemi na anaelekea kisha kabidhiwa burungutu tosha ili aanze kuchanganya watu dakika za mwisho. Pia inaelekea hata kusoma alama za nyakati...
Thread yako imenikumusha jinsi misemo ifuatayo ilivyotumikamiaka ya 2005 na 2010 kufikisha Tz hapa tulikofika ambayo kila mwomba ridhaa anatumia kama nguvu ya hoja: KASI MPYA !!!!!; NGUVU MPYA !!!! ARI MPYA !!!!!. Watu wale wale; mfumo ule ule, sera zile zile !!!!!!. Tatizo la msingi ni mfumo...
Mawazo ya Kakobe na watu wake juu ya siku ya uchaguzi ni udini. Siku sawa kwa watanzania wote bila kujali tofauti zote ni kufanya NYERERE DAY kuwa siku ya chaguzi zote za kitaifa. Hii itakuwa ukumbusho na hisytoria katika kumhenzi Baba wa Taifa letu. WanaJF sijui hii mnaonaje?
By appearance the lawyer Khan looks to be a wise lawyer but in action before the ICC Court he sounds barbaric and out of justice balance because he calls all witnesses to be liers. How sure is he sure his legal tactics are not interpreted by the ICC judges as being hostile and out of legal...
wewe na wenzako wenye mawazo kama yako nawapa pole kwa sababu ninyi siyo majaji wanaosikiliza kesi hii. ndiyo maana mmetumia kila hila kesi eletwe karibu ili mnyonge wanyonge kama mlivyonyonga matokeo ya uchaguzi wa urais. Kesi imeanza hamna ujanja kuisimamisha hata kama mkiwatumia wabunge na...
Soma maandiko yaliyonukuliwa. Kama hujui kwamba Mungu anasema nasi kwa Neno lake usipoteze muda wako maana hata pagani anajua hili. Wewe na wale wanawaombea wahalifu hawa mko sawa tu. Damu za wakenya zinamlilia Mungu kama damu ya Habili aliyeuawa na ndugu yake kaini.
Kwa watu wote wapenda amani ya mungu na ulimwengu wa haki; ufuatao ni msimamo wa mungu kwenye kesi hii ya kenya na ulimwengu kwa ujumla:
Katika biblia kitabu cha mwanzo sura ya 4 mistari ya 8 hadi 11 kwamba damu ya habili ilikuwa inamlilia mungu kiasi cha kumfanya mungu amuadhibu vikali...
Hizi bunge na senate za jubilee wana matatizo ya kutoona mbali. Uruto wako the Hague hiyo sheria kamawataipitisha kwa tyranny of numbers Uhuruto watatia sahihi kuwa sheria? Hawaoni hii itakuwa ni kuwafanya Uhuruto kukana commitment yao kushirikianana ICC ? IKO KAZI VIONGOZI WA KIAFRIKA NA...
supported: Jamani tuwasaidie wakenya na janga la jubilee ambalo limejizatiti kuua msingi wahaki kwa wanyonge. Kenya imekwisha. Wanaposema judiciary mbona supreme court ipo lakini imenyang'anywa meno katika kesi tu ya kwanza.sasa kama kesi zauhuruto zitarudishwa kenya au tanzania ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.