Recent content by Mtu Alie Nyikani

  1. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Lete code tupashe
  2. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amesema kwasasa hayuko tayari kuzaa, kuna mambo yake anamalizia kwanza

    Modern women (feminist) hili kwenu ni chungu sana!! Ila siku zote mwanaume akitaka mtoto no negotiations, mwanamke haina budi kukubaliana nalo. Otherwise kuwepo na special reason ambayo inakufanya usibebe ujauzito!
  3. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amesema kwasasa hayuko tayari kuzaa, kuna mambo yake anamalizia kwanza

    Wewe kama unaingia kwenye ndoa Huku una mambo yako si bora ukae pembeni kwanza, hayo mambo yakikamilika ndiyo uingie kwenye ndoa
  4. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amesema kwasasa hayuko tayari kuzaa, kuna mambo yake anamalizia kwanza

    Siyo Africa tu, Duniani kote.
  5. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Spy Catcher: Kuna Ujumbe wa siri ulitolewa hapa na Dkt; Nchimbi kabla Kujiuzulu kwake. | Code +255

    Nikisoma makala kama za aina hii. Inanipa moyo Kuwa hili Taifa Lina watu smart ambao Kwa namna Moja ama nyingine wanaweza kufanya Taifa kusonga mbele. Sadly CCM aina ya watu kama wewe haiwapendi kwa sababu inaona kabsa inaenda kudondoka madarakani.
  6. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ya Ordinary Diploma in Civil Engineering (DIT) ina mkopo wa HESLB? Taratibu zake zikoje?

    Ingia Google download ile pdf ya Diploma, utapata majibu yote ya maswali yako hayo!
  7. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Kutokujua Kingereza kumeongeza ujinga na uduni wa fikra kwa Watanzania

    Hizo sayansi bila lugha ya kingereza haziendi, kwa sababu zote hizo ni zinatoka nje huko.
  8. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Kutokujua Kingereza kumeongeza ujinga na uduni wa fikra kwa Watanzania

    Chukua hii caption ka- paste pale atakufunza kila kitu. Become my conversation partner for practicing English language start with beginner level conversation and gradually increase difficult as I improve. Correct every mistake I make, explain why it's wrong, show me how native would say it...
  9. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji anayefichwa anayetaka kuinunua Sinza yote, ni mama mmoja wa Kizanzibari na kijana wake wa kiume, Master mind wa ufisadi wote.

    Kama hizi sehemu. Tandale. Magomeni. Kigogo Tabata Riverside. Manzese Temeke Buza Buguruni Tegeta Segerea Of course karibia Dar yote mpangilio ni mbovu hayo maeneo yamejaa viduku na uchafu hamna la maana. Swali je gharama za kuhamisha hivyo viduku nani anaweza? Maana hii nchi haina Sheria...
  10. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Akili ni kama mimba tu, aidha unayo au huna. Hakuna mwenye akili nyingi, wala mwenye akili kidogo

    Nilitegemea utoe tafsiri ya Akili, Ili tupime Kuna ukweli gani kwenye hili Sijui unaweza nisaidia tafsiri yake Maana naona ulicho eleza hapo juu ni Ubongo, siyo akili.
  11. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

    Za chini ya kapeti zinasema walisha achana mda sana, walificha tu kwa sababu ya kulinda ugali na katiba.
  12. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Katambi ampa onyo kali Afande Sele. Hatufanyi mzaha

    Jamaa ni hovyo sana! Kwanza Unamwitaje mtu kupitia social media, ndiyo Sheria na taratibu za kipolisi zipo hivyo? Kama siyo ulevi na kiburi Cha madaraka kinawasumbua wajinga Hawa.
  13. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Katambi ampa onyo kali Afande Sele. Hatufanyi mzaha

    Huwezi kumuita mtu kwa kutangaza kwenye social media, Sheria gani inasema hivyo? Then unawaita kwa vikundi, kama ana kosa Kuna taratibu za kufuata, siyo unatoka tu mbele eti namuita Fulani, ujinga mtupu.
Back
Top Bottom