Jaman ukitaka mafanikia smama wewe kama wewe usiangalie mafanikio ya mwenzako ukitaka kuwajua walofanikiwa na H2i utatuona lkn wewe utakuwa umechelewa na huwezi kukimbizana na MTU alokutangulia mkuu
Jaman hii ni fursa Nzr tu hakuna ulazma wa kujiunga na huwez lazmishwa ujiunge lkn kama unaona inakufaa ifanyie tafiti na ndpo ujiunge ukianza kuicrash halafu bado hujui ukwel wa mambo utakuwa umekurupuka mkuu utakuta MTU huyohuyo eti anatafuta kaz jaman watanzania ebu tubadilike na Iman potofu
[1/27, 10:32 PM] Dr.G: KARIBU KATIKA FURSA YA
*HELPING HAND INTERNATIONAL (H2i)*
_TIN 127-248-435_
_Brela -128802_
[emoji117]soma ,elewa, uliza& chukua hatua[emoji124](kujiunga)
Whatsap call
[emoji338]0756254314
*UTANGULIZI*
H2i ni taasisi ya Kimataifa isiyo ya Kiserikali, imeanzishwa...
Mkuu fursa si ndyo hii unataka ipi H2i ndyo jibu lako fanya tafiti ichunguze ujiunge la cvyo utaendelea kutafuta kaz na usipate kumbe kaz ipo unaiachia mikononi mwako
Ukishachangia hyo 90hapo ndo utakuwa baloz wa milele kaz yako ni kuwashirikisha wengine wajiunge nawao watoe hyo 90 inamaana kwamba kadiri tunavyozidi kushirikisha watu wanajiunga hapo tunaitangaza kampuni izidi kujulikana jinsi inavyotoa huduma na kuweza kuwafikia wahitaji ktk jamii zetu waweze...
Sasa mkuu huwez kutupa pesa hiyo unakuwa kama umewekeza ambapo hautakuja kupokea hyo 90 tena yani hyo itakupelekea ukatimiza ndoto zako na ucjekuamini kama ni wewe umepata mafanikio kutokana na H2i
Yani ukitoa hyo 90,000/=ndo unakuwa mwanachama wa h2i na hyo pesa uliyotoa inakuwa ni kama hisa kwenye makampuni yanayoisapport H2i makampuni hayo ni kama hp laptop,glo line, bill gate foundation,campuni ya magar ya hyundai, diamond bank yapo kama saba hv mkuu hayo ni baadhi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.