Je? Ushasumbuka kutafuta kazi (H2i)ndyo jibu lako

Acheni wizi. Hizo zawadi mnazotoa kama mtu akijiunga sijui laptop, gari na madudu mengine kwanini msibadilishe zikawa fedha taslim mkasaidie hao watoto yatima?
Asante, nimeshindwa kuelewa wanawasaidiaje au ndio mpaka uchangie tena.
 
Nani kakwambia ni utapeli mtaishia kusema utapeli mwisho wa siku unaanza kujilaumu kwann hukufanyahapo itakuwa too rate
 
Wakuu habari za jioni..Ni kijana nimemaliza chuo level ya degree ya maendeleo vijijini natafuta kazi yoyote sichagui ata ya ulinzi kwani nina cheti cha JKT naomba anayeweza kunisaidia hiyo fursa ani pm na pia habari ya mshahara sichagui ili mradi chochote ili niweze kuishi maana maji yamefika shingoni
 
Nimekusoma! Sasa kwa kuleta watu wajiunge kutoa hizo 90,000/= ndo helping hand yenyewe? Sijaelewa
 
Yani ukitoa hyo 90,000/=ndo unakuwa mwanachama wa h2i na hyo pesa uliyotoa inakuwa ni kama hisa kwenye makampuni yanayoisapport H2i makampuni hayo ni kama hp laptop,glo line, bill gate foundation,campuni ya magar ya hyundai, diamond bank yapo kama saba hv mkuu hayo ni baadhi
 
90000 = bia 36. Bora nikakeshe bar natandika masanga kuliko kutupa hiyo 90 elfu.
Sasa mkuu huwez kutupa pesa hiyo unakuwa kama umewekeza ambapo hautakuja kupokea hyo 90 tena yani hyo itakupelekea ukatimiza ndoto zako na ucjekuamini kama ni wewe umepata mafanikio kutokana na H2i
 
Nimekusoma! Sasa kwa kuleta watu wajiunge kutoa hizo 90,000/= ndo helping hand yenyewe? Sijaelewa
Ukishachangia hyo 90hapo ndo utakuwa baloz wa milele kaz yako ni kuwashirikisha wengine wajiunge nawao watoe hyo 90 inamaana kwamba kadiri tunavyozidi kushirikisha watu wanajiunga hapo tunaitangaza kampuni izidi kujulikana jinsi inavyotoa huduma na kuweza kuwafikia wahitaji ktk jamii zetu waweze kupewa misaada kupitia ww baloz wa H2i.
 
Wakuu habari za jioni..Ni kijana nimemaliza chuo level ya degree ya maendeleo vijijini natafuta kazi yoyote sichagui ata ya ulinzi kwani nina cheti cha JKT naomba anayeweza kunisaidia hiyo fursa ani pm na pia habari ya mshahara sichagui ili mradi chochote ili niweze kuishi maana maji yamefika shingoni
Mkuu fursa si ndyo hii unataka ipi H2i ndyo jibu lako fanya tafiti ichunguze ujiunge la cvyo utaendelea kutafuta kaz na usipate kumbe kaz ipo unaiachia mikononi mwako
 
Mkuu fursa si ndyo hii unataka ipi H2i ndyo jibu lako fanya tafiti ichunguze ujiunge la cvyo utaendelea kutafuta kaz na usipate kumbe kaz ipo unaiachia mikononi mwako
Nimeipenda fursa hii mkuu sema tatizo 90 hiyo kwangu ni shida labda nijiunge alaf nikiwaunga watu ndio wanikate humo humo au wanitumie ata zawad niifanyie biashara then nikipata nijiunge ila kwa hali yangu saivi 90 parefu mno
 
Weka malengo kama vp ntafute wasap
 
Back
Top Bottom