Recent content by MtotoWaMzeeWaSiku

  1. MtotoWaMzeeWaSiku

    JamiiForums Tanzania Nini ukwamisha hatua za kimaendeleo katika biashara yako?

    Nini ukwamisha hatua za kimaendeleo katika biashara yako. Na Frank kadidi/MtotoWaMzeeWaSiku Wakati fulani nilizungumza juu ya namna ambavyo waweza kuchukua hatua za kimakusudi ili kufikia mafanikio katika biashara yoyote ufanyayo adhima kubwa ilikuwa ni namna unavyoweza kuchukua hatua za...
  2. MtotoWaMzeeWaSiku

    JamiiForums Tanzania Makusudio chanya na Biashara yako

    Mafanikio kibiashara utegemea hatua za kimasudi Na frank kadidi/MtotoWaMzeeWaSiku Mtu awekapo dhamiri ya kujiingiza katika shughuli fulani akiwa na maazimio kuwa kupitia jambo hilo unafuu wake utapatikana uweka matumaini na imani kuwa sasa anakwenda kuachana na hali fulani aliyokuwa nayo hapo...
  3. MtotoWaMzeeWaSiku

    JamiiForums Tanzania Kijana tambua kuna kushiriki na kushirikishwa....!

    Kijana tambua kuna kushiriki na kushirikishwa Je katika utaratibu wako wa maisha yako ya kila siku ukigawa mawazo na utendaji wako katika % wewe ni mshikriki au mshikishwaji....? katika muktadha wa maisha yetu hasa sisi vijana nafasi yetu ya kusimama na kusimamia kile tunachofikiri na kuchagua...
Back
Top Bottom