Recent content by Mtotowamama

  1. Mtotowamama

    TRA muache kuvizia wateja wa jumla Kariakoo

    Kodi ya ongezeko la thamani (VAT) Hii ni aina ya kodi inayotozwa baada ya kuongeza thamani ya bidhaa. Ukinunua kitu na kukiuza kwa bei ile ile uliyonunulia, hutaweka VAT maana hukuongeza thamani ya bidhaa ile. Kodi hii haikusanywi na kila mfanyabiashara bali wale wanaokidhi vigezo na kusajiliwa...
  2. Mtotowamama

  3. Mtotowamama

    TRA muache kuvizia wateja wa jumla Kariakoo

    Hapa mnaongelea vitu viwili tofauti, machine za risiti (EFD) na kodi ya ongezeko la thamani (VAT). Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa na havina uhusiano. Nianze na mashine. Hizi ni mashine maalum za kutolea risiti zilizotengenezwa kulingana na matakwa ya serikali na mamlaka ya mapato ndio...
  4. Mtotowamama

    TRA muache kuvizia wateja wa jumla Kariakoo

    Mkuu unapotosha, ni vizuri tuwe tunaandika vitu ambavyo tuna uhakika navyo
  5. Mtotowamama

    Mafisadi wanazidi kuikimbia CCM na kujiunga na CHADEMA/UKAWA

    Inategemea unatoka vipi na sababu ya kutoka. Mtu anayenunuliwa na kufanya mambo ambayo hata mtoto mdogo anajua sio kawaida yake unataka aendelee kuitwa kamanda? Havifanani
  6. Mtotowamama

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    CCM itaingi ikulu hata kwa goli la mkono - Nnape Nnauye
  7. Mtotowamama

    Kwani watoto wa Marekani nao wanapewa hizi chanjo zinazotolewa kwa watoto wetu?

    Niliwahi kusoma kwenye mtandao nikaona Marekani watoto wanachomwa chanjo nyingi kuliko huku kwetu. Labda kitakachotofautisha ni ubora na uchakachuaji.
  8. Mtotowamama

    Kwa kina dada na kina kaka wote hii inawahusu

    By it is me Naomba kujua "husband material" nae anasifa gani??? Hayupo duniani ndio maana hawakuhangaika hata kuweka sifa.
  9. Mtotowamama

    Kwa kina dada na kina kaka wote hii inawahusu

    Bora mimi mtoto mama yangu atanielekeza na kunifundisha, wewe naona umejikuza mwenyewe hivyo hujui kuonywa wala kufundishwa. Kalaghabhaho na ujuba wako.
  10. Mtotowamama

    Kwa kina dada na kina kaka wote hii inawahusu

    Namba 1-4 zina ukeli zilizobaki zinanipa 'proof' kuwa wanaume wa siku hizi wanapenda kulelewa. wenyewe mnawaita marionini sijui. Na huwezi kuangalia sifa moja tu ukasema huyo ni wife material ndo maana mnajikuta mnaangukia mikononi mwa majini. Sifa za wife material zinapatikana Mithali 31:10-31
  11. Mtotowamama

    Kwa kina dada na kina kaka wote hii inawahusu

    Hana Prado wala V8 so possible hajampa hata mmoja. Na kwa thread hii anaamini atapata japo wa kuoshea nyota.
  12. Mtotowamama

    Sakata la Gwajima: Serikali inapoamua kukumaliza

    Mkuu haikuwa lengo langu kumlinganisha Yesu na Gwajima, siwezi. nilikuwa najaribu kueleza kuwa si ajabu mtu anayeonekana mtumishi wa Mungu kutumia lugha kali (ya matusi kama inavyodaiwa) kwani hata watangulizi walitumia. Mimi si muumini wala mfuasi wa Gwajima msininukuu vibaya lakini nilikuwa...
  13. Mtotowamama

    Sakata la Gwajima: Serikali inapoamua kukumaliza

    Hata mimi sikupendezwa na kauli alizotumia na siwezi sema aliongozwa na Roho Mtakatifu au Mtakafujo lakini hata Yesu mwenyewe aliwahi kumuita Herode Mbweha. Hivyo nafikiri kuna wakati hali hiyo hutokea hata kwa watumishi ili kufikisha ujumbe.
  14. Mtotowamama

    Sakata la Gwajima: Serikali inapoamua kukumaliza

    Makanisa yote hadi RC yanalipa kodi ila tu huwa kuna unafuu kidogo ukilinganisha na biashara za kawaida.
Back
Top Bottom