Tatizo vijana wengi wa karne ya 21 wamekua Addicted saaana na Ponography kiasi ya kwamba wako na attractions ambazo sio natural bali ni za kubadilishwa akili zao. Vitu kama macho, urefu, ufupi, rangi ya mwili wake, sauti ni vitu Natural mwanaume kamili akiviona anakua attracted. Kwanza asiwe na...