Recent content by Mtoto WaKabwela

  1. M

    Trade globally( nunua na kuuza popote duniani)

    Duka la watanzania ndani na nje ya nchi kwa jumla na rejareja shilingishop.com, shilingishop.com carmarket.shilingishop.com carmarket.shilingishop.com
  2. M

    Nahitaji gari Toyota vits. Nipo dar.

    Tembelea soko la magari la shilingishop.com shilingishop.com
  3. M

    Nahitaji gari Toyota vits. Nipo dar.

    jaribu kutembelea soko la magari ya kijapani la shilingishop.com shilingishop.com
  4. M

    Gari ya mizigo natafuta

    Wasiliana na soko hili la carmarket.shilingishop.com shilingishop.com
  5. M

    Trade globally (nunua popote duniani)

    Duka la watanzania ndani na nje ya nchi kwa jumla na rejareja shilingishop.com, shilingishop.com carmarket.shilingishop.com carmarket.shilingishop.com
  6. M

    Kwako Waziri Mkuu, matumizi ya Tag 2 au Tag 3 bandari ya Tanga!

    We ni Msomi au ulipata kazi kwa urithi? mwanasiasa wa ccm au Chadema? kwa sababu Tanzania unaweza kupata kazi kwa kusoma, kujua na kuelewa au kurisishwa ? wewe ni kundi gani? mimi namuunga mkono Magu na Majariwa ?
  7. M

    Kwako Waziri Mkuu, matumizi ya Tag 2 au Tag 3 bandari ya Tanga!

    Mnakokota Meli Ngapi kwa siku? Mnatumia Tag Ngapi Kwa siku? na Mna jumla ya Tag ngapi hapo bandari ya Tanga? Na tagi ziliazishwa kwa dhumuni gani na mwaka gani? Kama hamnielewi ni kuwa ninyi ni wajinga au vibaraka wa vitimoto vichachu?
  8. M

    Kwako Waziri Mkuu, matumizi ya Tag 2 au Tag 3 bandari ya Tanga!

    Poa Wanzuki? Sasa mimi nimekunywa wanzuki je wewe Umekunywa nini? na Hapo tanga Kuna tag ngapi? zinamaanisha nini? na zinasaidiaje weredi wa kazi? Tunataka kuwasaidia ingawa tumelewa wanzuki
  9. M

    Kwako Waziri Mkuu, matumizi ya Tag 2 au Tag 3 bandari ya Tanga!

    Na ndio hayo Majibu mmempa Muwajibikaji waziri mkuu na mkajilizisha, akalizika na mkajiona mpo sahihi?
  10. M

    Kwako Waziri Mkuu, matumizi ya Tag 2 au Tag 3 bandari ya Tanga!

    Ndio Maana ya tag? kwa kitanzania, kwa kiswahili au kwa mfumo mnaotumia? unajua maana ya tag? Hiyo meli nikiiwekea Tag mimi nitashindwa kuitambua? au nikiikokota nitashindwa kuelewa inanini na inakwenda wapi na ni ya nani?
  11. M

    Tujiulize Kuhusu hujuma na uchumi

    Hujuma? kwa nani? wafanyabiashara na wanasiasa, wakulima na watanzania wenye kipato cha chini, makampuni ya mawasiliano, waandishi wa Habari, radio, na TV au barabara na majengo marefu yasiyo imara? Na Serikali ni nani, Wafanyabishara, wafanyakazi wa umma, wanasheria, wanasiasa, waandishi wa...
  12. M

    Kwako Waziri Mkuu, matumizi ya Tag 2 au Tag 3 bandari ya Tanga!

    Taarifa niliyoisoma ilitumia neno TAG na Sio TUG? Hata hivyo Magumashi ni mengi sana Tz
  13. M

    Makampuni 210 ya Clearing & Forwarding yasimamishwa kutoa huduma na TPA

    Hizo ni Taasisi nitakazofanya nazo kazi kwa ukaribu kabisa, Taasisi ya Urais na wananchi nitawapa taarifa na wataona matokeo ya kazi baada ya muda mfupi. Nimeamua kujitolea kuomba kazi hii kwa kuwa inaonekani ni ngumu sana, hasa kutokana na maoni ya wafanyabiashara wakwepa Kodi, waajiriwa wa...
  14. M

    Makampuni 210 ya Clearing & Forwarding yasimamishwa kutoa huduma na TPA

    Dk Magu, Rais Wangu Mtukufu ,naomba kazi ya kusimamia na Kuhakikisha hayo makampuni 210, wamiliki wake, wafanyakazi, jamaa na ndugu zao HAWAFANYI KAZI tena/ HAWAFUNGUI makampuni ya namna hiyo Tanzania kwa miaka 10.
  15. M

    Makampuni 210 ya Clearing & Forwarding yasimamishwa kutoa huduma na TPA

    Hizi hesabu, ushauri, na utetezi unakuja baada ya kuharibu, Je kabla ya kukwepa kodi wakati unakwepa kodi mliyafikiria hayo, Je wakati Mnawaajiri hao vijana wakati hamkuyajua hayo ? Mwacheni Magu afanye kazi yake kama nyie mlivyofanya kazi yenu .
Back
Top Bottom