Mtoto WaKabwela
Member
- Mar 25, 2011
- 28
- 6
Hujuma? kwa nani? wafanyabiashara na wanasiasa, wakulima na watanzania wenye kipato cha chini, makampuni ya mawasiliano, waandishi wa Habari, radio, na TV au barabara na majengo marefu yasiyo imara? Na Serikali ni nani, Wafanyabishara, wafanyakazi wa umma, wanasheria, wanasiasa, waandishi wa AU WAWEKEZAJI?