Nikusaidie tu kujua kwamba kwenye Uchaguzi Mkuu wa Urais, Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) alipata zaidi ya asilimia 95% ya kura zote.
Hayo ya hakubariki ni maoni yako na yanaheshimiwa kama mimi ninavyotaka maoni yangu ya kutaka Mahakama Kuu...
Kwa muoga kulienda kicheko na kwa shujaa kulienda kilio. Hata mimi huyu Askofu Dk. Gwajima ni mwanafunzi wangu nikimfundisha Buswelu Sekondari kipindi Ikiwa chini ya Bodi ya Pamba.
Sikumuonea huruma wakati anajifanya mjuaji mbele ya Serikali wakati anajijua alikuwa mwanafunzi tia maji tia...
CCM inaonesha maana halisi ya demokrasia ndani ya chama kwamba viongozi wanaweza kutofautiana kimsimamo na kimtizamo na mambo yakaenda. Chadema ukienda tofauti na Mwenyekiti au Makamu Mwenyekiti utasikia "kashafika bei huyo"! Mara, "Karamba asali ya Abduli huyo"! Kwa maana kila mtu Chadema ana...
Huyu kijana Pambalu ni mjinga sana. Mimi nimemuona akikua na akilelewa na mamaake Mwalimu wa Shule ya Msingi mojawapo hapa Jijini Mwanza. Naye baadae akaja kuwa Mwalimu kama mamaake.
Lakini cha kushangaza amekuwa akiwatukana walimu kila leo, maana yake akiwemo mamaake, Makamu Mwenyekiti wa...
Kulaumu ni kwepesi sana. Lakini kwa taarifa yako, hao watu walikuwepo kabla ya dini, kabla ya Yesu Kristu na wapo dunia nzima na HAKUNA uwezekano wa kuisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.