Samia amesema anaunga mkono chanjo ya nyumba kwa nyumba inayopendekezwa na mkuu wa mkoa wa mbeya.
Swali hizo cost zinazotumika kulazimisha watu wachanjwe zinatoka wapi? Kwanini pesa zisielekezwe kwenye mambo mengine ya msingi.
Mama wanaomshauri wanamponza Sana.
---
Rais Samia Suluhu...
Mwaka 1995 kama asingekuwa Nyerere boys to men walikuwa tayari wamechukua nchi.
Akawapiga chini ila Kuna mambo mengi yaliendelea mpaka kifo chake mwaka 1999 hapo ndio lobbying ilifanyika wakaingia ulingoni na kuanza kumtishia Mkapa akaanza kubinafsisha kila kitu.
Ukiona leo Bei ya unit 1 ya...
Thanks ok,hata Mimi nimejiajiri na nalipaga Kodi na mtaji wangu Ni kama milion 5 tu na Nina fremu
Hapo Kuna Machinga kasema mtaji wake Ni milioni 15 lakini Cha kishangaza ameanika vitu vyake nje.
Huu Ni upumbavu kuwa na mfanyabiashara mwenye mtaji mkubwa vile na alipi Kodi.
Fremu leo zimedoda mikoa yote, ina maana Machinga wanashindwa kujiunga hata watatu watatu wakachukua fremu wakaripa Kodi?
Nchi imekuwa ya kipuuzi sana mama ntilie wanashindwa kujiunga wakatengeneza taasisi inayolipa Kodi na wakafanya derivali ya chakula kwenye maofisi mida ya mchana?
Mpaka...
Naona kwa maoni yangu tupo kwenye mkwamo kuliko kipindi chochote toka tupate Uhuru.
Rais ukiingia madarakani na ukawa na makundi ya Matajiri na watu wenye maslahi yao madarakani ujue hauwezi kuongoza taifa.
Nyerere hakuwa na makundi ndio maana mpaka anaondoka ikulu hakuwai kuiba hata sent ya...
Kaka yangu kafariki jioni hii kwa covid 19 hospital ya Bugando Mwanza hakika ni majonzi makubwa sana.
Alifikishwa hapo kwa matatizo ya uchovu tu na kwenda kucheki na hakupelekwa na mtu alienda akiendesha gari yake mwenyewe ila badae walimpima na kukuta ana corona akawekwa pale toka juzi Leo...
Moshi. Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amelionya Jeshi la Polisi kwa tabia za baadhi ya askari wake kubambika watu kesi, huku pia akitaka mafunzo ya awali ya askari yaongezwe kutoka miezi tisa hadi 12 ili kupunguza changomoto ya ukosefu wa maadili kwa baadhi ya askari.
Akizungumza...
Naliona anguko kubwa la utawala huu.
Wamejitenganisha na uzalendo wa Rais Magufuli aliokuwa nao kwa nchi wameanza kuchezea nchi.
Pamoja na kwamba Magufuli alikuwa na ukorofi wa kutopenda kukosolewa ila asingeweza kuruhusu ujinga huu.
1: Tozo kwenye simu (double taxation)
2: Tozo kwenye kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.