Recent content by mtoto wa mamantilie

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jiwe la mbuguni

    Usiku wa Mbuguni Usiku wa Mbuguni haukuwa na sauti nyingi. Ni upepo tu uliokuwa ukipita juu ya mashimo ya migodi, ukibeba harufu ya vumbi na jasho la wachimbaji. Amani alikuwa anakimbia. Miguu yake ilikuwa imejaa vumbi jekundu, pumzi ikimkata kifuani kama kisu. Kila hatua aliyopiga...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje Kupata leseni ya biashara Brela?

    Naomba mwenye Ujuzi kuhusu haya mambo anisaidie uelewa nimesajili Jina la Biashara Brela kwa Business activity 5920 - Sound recording and music publishing activities Main na 4791 - Retail sale via mail order houses or via Internet naomba kufahamishwa hii inaangua kundi A au Kundi B, kama...
Back
Top Bottom