Recent content by Mtoa Taarifa

  1. Mtoa Taarifa

    DVT ndio Ugonjwa uliosababisha Kifo cha Denis Busulwa "Ssebo"

    Uchunguzi wa madaktari umeonyesha kuwa marehemu Denis Busulwa (Ssebo), aliyekuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Biashara wa EFM na TVE, alifariki dunia kutokana na ugonjwa wa Deep Vein Thrombosis (DVT) au kwa Kiswahili "Kuganda kwa Damu katika Mishipa ya Ndani." mara nyingi kuanzia Miguuni. DVT...
  2. Mtoa Taarifa

    KURA HURU: Mgombea yupi ungetamani awe Rais wa Tanzania 2025 - 2035

    ANGALIZO: Kura hizi ni Huru na hazihusishi Mchakato wa Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 nchini Tanzania. Hivyo Wagombea wanaowekwa hapa wengine hawajatangaza nia wazi kuwa watashiriki na wengine wapo katika mchakato. Wewe kama mchangiaji huru piga Kura yako kuchagua Rais unayemtaka.
  3. Mtoa Taarifa

    Mazungumzo yako na ChatGPT hayalindwi Kisheria, yanaweza kutumika kama ushahidi Mahakamani ukikutwa na hatia

    Mkurugenzi Mtendaji wa ChatGPT na OpenAI, Sam Altman, amefichua kuwa mazungumzo ya watumiaji na zana hii maarufu ya AI hayalindwi kisheria kwa asilimia mia moja na yanaweza kutumika kama ushahidi mahakamani. Katika mahojiano ya hivi karibuni na Theo Von, Altman alisema: Altman aliongeza kuwa...
  4. Mtoa Taarifa

    GE2025 Askofu Gwajima amezungumza na vyombo vya habari ameendelea kupinga utekaji na kusisitiza umuhimu wa Reforms

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima na Mbunge wa Kawe (CCM), Dkt. Josephat Gwajima kupitia Ukurasa wake wa Instagram ametoa taarifa kuwa atazungumza na Vyombo vya Habari leo Julai 16, 2025. Ikumbukwe Gwajima amekuwa kwenye mvutano na Serikali ya CCM tangu alipotoa waraka wa kukemea matukio...
  5. Mtoa Taarifa

    Humphrey PolePole anao wajibu wa kuelezea ni yapi makubwa ametekeleza kwenye nafasi ya ubalozi!

    Mmehama kwenye hoja zake mnaanza kuhaha na vitu vingine! Jibu alichokieleza kwanza, kipo hakipo?
  6. Mtoa Taarifa

    John Heche: Wabunge wanafanya Siri mishahara yao ili Serikali iendelee kuwaibia Wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema wakati alipokuwa Bungeni mishahara ya Wabunge ilikuwa Tsh. Milioni 4 (take home) na nyongeza ya Posho ya Jimbo Tsh. Milioni 8 kwa mwezi lakini kwasasa jumla Mbunge analipwa zaidi ya Tsh. Milioni 18 kila mwezi na ndio maana hawataki kuweka wazi...
  7. Mtoa Taarifa

    Polepole kuzungumza na Vyombo vya Habari Julai 17, 2025

    Siku chache baada ya kutangaza kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba na visiwa vya Jirani, Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho wakati wa utawawala wa hayati Rais Magufuli, Humphrey Polepole ameitisha Press kwaajili ya kutoa ufafanuzi wa Barua yake ya kujiuzulu hapo...
  8. Mtoa Taarifa

    GE2025 Prof. Norman Sigalla King amechukua na kurejesha Fomu ya Kugombea Ubunge jimbo la Makete

    Profesa Norman Sigalla King amerejesha Fomu za kugombea nafasi ya Ubunge jimbo la Makete kupitia CCM leo Julai 2, 2025. Prof. Norman ambaye amewahi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo anakumbukwa na Wananchi wa Makete kutokana na kufanikisha ujenzi wa Barabara ya Lami kutoka Njombe - Makete. Pia, miradi...
  9. Mtoa Taarifa

    PreGE2025 January Makamba alivyowasili kwenye Mkutano Maalum wa CCM

    Mbunge wa Bumbuli na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwasabahi Wajumbe wa Mkutano wa CCM uliofanyika Jijini Dodoma ambapo yeye pia amehudhuria Mkutano huo Maalumu.
  10. Mtoa Taarifa

    Waziri Jerry Silaa: Watumiaji wa Intaneti wamefikia Milioni 49.3 kutoka Milioni 37

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari , Jerry Silaa amesema Watumiaji wa intaneti nchini wameongezeka kutoka milioni 37.3 April, 2024 hadi milioni 49.3 April, 2025 sawa na ongezeko la asilimia 32.3. Waziri Silaa amesema hayo leo May 16,2025 wakati akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma...
  11. Mtoa Taarifa

    Bashe apiga marufuku mazao ya kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini kuingizwa nchini

    https://x.com/HusseinBashe/status/1915135070819803406?t=b5B4QT5937UDsnFw8mt9Og&s=19
  12. Mtoa Taarifa

    PreGE2025 Peter Kibatala: Nitawaalika Mabalozi na Jumuiya za Kidiplomasia kwenye Kesi ya Lissu Aprili 24, 2025

    Jaribio lolote la kutomfikisha Mahakamani Antipas Tundu Lissu Mughwai tarehe 24 Aprili 2025 litakutana na upinzani mkali wa kisheria. Tunaamini kuwa wale walio na dhamana hawatajishughulisha na mipango ya kipuuzi ya aina hiyo. Tunataka Antipas Tundu Lissu Mughwai ashtakiwe hadharani kabisa...
Back
Top Bottom