Wapendwa hebu tuchangie kidogo hapa.Ni Arusha hapo ambapo kuna watu walimwaga unga katika kampuni Fulani na wanahaha mbaya!.Cha adabu wanawashawishi wenzao eti nao wagome ili wajiunge nao kwenye hiyo dhahma!.Inaingia akilini kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.