Recent content by mtita

  1. M

    Serikali yatangaza Kanuni zinazokataza Matumizi ya Fedha za Kigeni kulipia bidhaa au huduma nchini

    Binafsi nimeshawahi kukutana na tatizo hili zaidi ya mara tatu na nikawa nashangaa sijui la kufanya! Niliwahi kulazimika kwa kulazimishwa kulipia tiketi ya ndege mara tatu kwa dola na kuambiwa waziwazi kwamba shilingi haitakiwi. Ofisi za Ethiopia Airline na hata Egypt Air! Na mpaka leo mchezo...
  2. M

    Kumbukumbu za ulimwengu (World Archives)

    Unaposema teknolojia ilikuwa ya chini unamaanisha nini wakati uhalisia unaonesha uwepo wa teknolojia ya juu? Unajua kuwa hata muda huu ukitaka kujenga majengo kama hayo bado ni changamoto kubwa ingawa unahisi kuwa kuna teknolojia ya juu?
  3. M

    Marekani: FDA yaidhinisha utoaji wa dozi ya tatu ya chanjo kwa kundi maalum

    Tatizo kubwa ni kwamba sisi tuko wapi katika kuitumia fursa hii ya uviko19?
  4. M

    Madagascar: Rais Andry Rajoelina anusurika kuuawa

    Inaonekana kama bado hajaitambua Corona kiukamilifu. Ila nimesikia amekubali kupelekewa chanjo, na tayari kuna mkakati unapikwa wa kumpeleka chanjo laki tatu za awali
Back
Top Bottom