Recent content by MTIRIKO

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu, Kwa nini CHADEMA wanamuogopa sana Mwigulu kuliko hata CCM?

    1. Unakiri kuwa CDM wajanja, na ndivyo walivyo. 2. Unasema CDM wakimsikia Mwigulu anaongea huwa wanachanganyikiwa & kuingiwa & hofu kuu; "Nadhani si kihivyo unavyo amini, bali ukweli ni kwamba hata wana CCM wenyewe, & naamini hata Shetani mwenyewe, na hata mtu yeyote mwenye hekima huwa wanakuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa ACT matatani kwa kushusha bendera ya CHADEMA mkoani Kigoma

    Kwa hiyo chama cha akina ZZ Kabwe adui wao ni CHADEMA na si CCM? Hawa wanamsaidia Shetani kutenda kazi ya kuhafifisha kazi ya ukombozi wa taifa letu, hawatafika mbali.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni CCM au CHADEMA usipite bila ya kusoma hapa.

    Mahali tulipo fikia na huko ambako CCM wamethubutu ni kuweka matabaka ktk jamii ya watanzania, kuna uzao wa waheshimiwa ambao wanauhakika wa kupata elimu nzuri, matibabu ya uhakika kwenye hospitali zao za rufaa India, South Africa na Uingereza. Wakati uzao wa walio wengi ambao wana elimu ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Mwigulu kuua CHADEMA Iramba

    Mwigulu, baada ya ukombozi ni mmojawapo wa watakao kamatwa mapema ili kujibu mashitaka mbalimbali ya uvunjaji wa haki za wanadamu na mauaji. Inashangaza mtu anayepingana na wakati, ataumia mwenyewe. Haiwezekani ukarudisha enzi ya chama kimoja sasa. Mtu anayejiita msomi lakini ni mbumbumbu ktk...
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na CCM waipata freshi yao Mwanza NCCR - MAGEUZI yawapa kichapo

    NCCR MAGEUZI Itafutika 2015.
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na CCM waipata freshi yao Mwanza NCCR - MAGEUZI yawapa kichapo

    tuiunge NCCR - MAGEUZI mkono maana ndicho chama kitakacholeta mageuzi kwa watanzania wote hatutaki ukombozi maana tulishapata tunataka mageuzi ya kweli kiuchmi, kisiasa, kijamii na elimu yenye fanaka kwa wote "bila NCCR madhubuti upinzani utayumba" hainuliwe aliye juu NCCR - MAGEUZI "TUMAINI...
Back
Top Bottom