Recent content by Mtingaji

  1. Mtingaji

    Barabara alizojenga Hayati Magufuli, hazina viwango, zimetengeneza Matuta kama ya kupandia Viazi

    Hawa TIS wako wapi Hayati ana tukanwa hivi kama hakufanya lolote? Jameni tumuogope Mungu! Yote yamefanyika chini ya ILANI YA CHAMA TAWALA miaka yote. Wasitafite mchawi chama kimechoka!
  2. Mtingaji

    Barabara alizojenga Hayati Magufuli, hazina viwango, zimetengeneza Matuta kama ya kupandia Viazi

    CCM wanaona hawana wa kumpigia kelele kwa sababu NI SERIKALI yao yenye UTITILI WA MAENGINEER uchwara, wanatafuta wa kumsukumia mzigo! Ni CCM wamechoka wawaachie wengine nao wafanye tulinganishe.
  3. Mtingaji

    Mbunge: Wanawake acheni kutoa huduma kwa wanaume wasiotahiriwa

    Usishangae kwa sasa bungeni hakuna wapinzani waalikuwa na hoja za wananchi, sasa hivi hoja kama hii unajiuliza, katumwa na hawara yake au na wananchi? tunajua hakuna mwananachi hata mmoja katika nchi hii anaweza kumtuma mbunge utumbo kma huu! Wanalipwa posho na mishahara kwa kuongea mambo kama...
  4. Mtingaji

    Mbunge: Wanawake acheni kutoa huduma kwa wanaume wasiotahiriwa

    Hawa wanawake wana tunyanyasa sana, nasisi wanaume tuache kuoa wananwake ambao hawajitunzi, hawana bikra yamebaki matobo kama matundu ya njiwa.
  5. Mtingaji

    Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

    Usifikiri ni wapinzani tu ndiyo wanaonunulika, hata walioko ndani ya Serikali au Chama Tawala wanaweza kuwa na tabia hizo za kununulika ili wawasaliti wenzao wenye kuwa na Moyo wa kizalendo wanaotetea maslahi ya wengi!
  6. Mtingaji

    Mama Mulamula umekosea, unasema Ulaya wanatuleteaga vitu vya sumu huku Afrika: Una ushahidi wa hilo?

    Vinatoka kwa wazungu. Kuna maziwa ya ya unga toka bondeni yaligundulika yana composition za sumu yakapigwa stop na serikali. Mzee Baba alitutangazia siku moja kuwa kuna chanjo zilikuwa zinatolewa kuzuia cancer kwa wanawake, walikuwa wanapewa hasa watoto wa kike mashuleni, ikaonekana kumbe...
  7. Mtingaji

    Mama Mulamula umekosea, unasema Ulaya wanatuleteaga vitu vya sumu huku Afrika: Una ushahidi wa hilo?

    Kutumaliza wote kama walivyofanya Hawaii ni ngumu kwa mazingira ya sasa, isipokuwa wanafanya kutupunguza na kutuwekea elements fulani fulani kwenye vinywaji au vyakula ama madawa ili tukivitumia tudumae miili na akili. Pia wanatuletea magonjwa kama Ebola, AIDS, Cancer ya shingo ya uzanzi na...
  8. Mtingaji

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Acha kudanganya watu, mzunguko mkubwa wa pesa kipindi kile cha shamba la Bibi ulichangiwa na watumishi wengi wa serikali kutumia ofisi za umma ukipatia vipato haramu kama rushwa, ufisadi na uhujumu uchumi! Sasa hivi watu tulikuwa tunatumia pesa vizuri kwa sababu inatokana na vipato halali!
  9. Mtingaji

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mama SSH hongera kwa kupata Cheo Kigumu kuliko vyote nchini. Kumbuka kila jicho la Mtanzania na Mabeberu nao wanakukodolea macho. Usiangalie sura ya mtu, wewe fuata ile misingi mizuri aliyoiacha mtangulizi wako, ukiyumba kidogo Mabeberu watafanya Ikulu sebure yao na kila mradi wa kimkakati ulio...
  10. Mtingaji

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Acheni mizaha, alishasema ukiyakamata mafisadi nchi haitatawalika. Hafai kabisa huyu! Mwacheni apumzike na kijijini alime zabibu ya kutengeneza wine.
  11. Mtingaji

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Ningekuwa mshauri wa Mama Samia, ningemteua P. Kabudi kuwa VP na kumuongezea majukumu ya kufuatilia miradi mikubwa yote mpaka ikamilike. Anajua jinsi ya kubanana na mafisadi.
  12. Mtingaji

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Ukimjumlisha na RC. Chalamila wapewe certificate kabisa. Walitudanganya watanzania wakati jiwe mwenyewe alisha sema watanzania siyo wajinga!
  13. Mtingaji

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Ndugu yangu huna haja ya kusumbua kichwa kujua tunaelekea wapi, wewe fanyakazi kwa bidii ulipe kodi kwa uaminifu na ustawishe familia yako. Hiyo kodi Magufuli tunaona anaitumia vizuri kujenga nchi. Kodi yako hailiwi na "Mchwa" kama ilivyokuwa inatafunwa hadharani hapo zamani. Mheshimiwa Rais...
  14. Mtingaji

    GE2020 Nani anapaswa kumrithi Rais Magufuli?

    Wewe udini wa nini tena humu, umeona giza mbele ndiyo unataka kutuletea machafuko, umetumwa na mabeberu nini?! Kama mtu anapiga kazi mpaka Corona inakimbia unataka umbadirishe kwa nini, Magu komaa Mzee hatuchagui padri, shehe wala mchungaji wa kutuhubiri dini, tunataka mtu anayefanya kazi...
Back
Top Bottom