Recent content by MtiMnene

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

    Matajiri wanakaa mguu mmoja ndani mwengine nje kwa sababu ya siasa zetu. Yaani kwa siasa zetu anaweza kuja kiongozi muda wowote akawafilisi mali zote. sasa na wao matajiri lazima wajihami, wafiche hela nje ya nchi. Nje ya nchi hela za matajiri zinanufaisha wengine maana wanalipwa au wanakatwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

    Mkuu labda uende benki ukaongee na meneja atakueleza mzunguko wao wa hela uko vipi. Hela zinazowekwa kwenye fixed akaunti, benki wanazikopesha kwa riba. Kwa hiyo tajiri akiweka mfano bilioni 10 benki, hazikai tu. Benki watakopesha, au kuwekeza ili kupata faida. Sasa wanaokepeshwa ni pamoja na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

    Wenye nacho waachwe wapate zaidi watengeneze Ajira. Hela ya tajiri ikikaa benki, watu wa kawaida wanapata mikopo ya kujiendeleeza kibiashara, kujenga, n.k. Tajiri akiamua kutumia hela yake pia watu wa kawaida wananufaika na Ajira zinaongezeka. Ila matajiri wakionekana kama wahalifu fulani, hela...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini utajiri mkubwa hapa Tanzania unamilikiwa na Watanzania wenye asili ya Asia

    Hao wa Asia matajiri wengi wao wamewekwa mbele tu (front). Wenye mali ni weusi kama wewe.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?

    Labda huyo ni jasusi mmoja aliyetumia pasi ya Kenya mwenye special mission. Ni mambo ya kawaida kwa majasusi kuwa na nyaraka za nchi nyingine wakiwa kwenye kazi zao.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashitakiwa ICSID ikidaiwa kukiuka mikataba ya gesi asilia ya Sh Trilioni 3

    Nyerere ndiye muasisi wa mfumo uliopo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alikosea sana kumpeleka Cuba ndugu Humphrey Polepole

    CCM hawa wanaopenda V8 na kujilimbikizia mali ndiyo waige mfano wa Cuba? Azimio la Arusha tu liliwashinda sembuse mfumo wa Cuba?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nasikia nguvu kubwa sasa imeelekezwa kuangusha Mbuyu namba nne kwanza.

    Mtoto wa mjini yule watamuweza kweli?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dude limekaa vibaya sana hakuna wa kulitatua ndani kwa ndani

    Usishangae hizo tetesi zinavujishwa maksudi ndani ya system ili wananchi waamini kuna upinzani wa kweli. Wakati yote hiyo ni show tu. Upinzani wa kweli unasota jela au umekimbia nchi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Amani aliyoipigania Nyerere imevurugwa, ila Nina Imani hizi zama zitapita na Tanzania yetu Itarudi Salama na Kusimama tena

    Kwani Zanzibar wanakubali au wanapenda kuuliwa na system? Na wao si ni binadamu pia na ni Watanzania pia?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Amani aliyoipigania Nyerere imevurugwa, ila Nina Imani hizi zama zitapita na Tanzania yetu Itarudi Salama na Kusimama tena

    Kwani wanaoua Wazanzibari unafikiri wanatokea wapi? System ni ile ile inafanya kazi bara na visiwani.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Amani aliyoipigania Nyerere imevurugwa, ila Nina Imani hizi zama zitapita na Tanzania yetu Itarudi Salama na Kusimama tena

    Nani amewajibika kwa mauaji yanayotokea Zanzibar karibu kila uchaguzi? Au mauaji yaliyotokea wakati na baada ya mapinduzi?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!

    Kama karma kweli ipo ingeshawapata wakoloni na viongozi wengi wa Africa ambao wanatawala kidikteta. Wengi wanaishi maisha marefu, wanajilimbikizia utajiri na kufa uzeeni. Hapa kwetu Tanzania wangapi wameuwawa huko Zanzibar tangu Mapinduzi mpaka leo? Si karma Ingeshawapata maraisi wote wa nchi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Video: Dude lishaamshwa, Je, Gwajima ataenda mahakama ya Tanzania au kwa Mungu kupinga maamuzi ya watu 2 kujichagua kuwa wagombea?

    Gwajima watadili nae kama walivyodili na Mtikila. Tena Mtikila alikuwa mwiba mkali zaidi kwa CCM kuliko hata Gwajima.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?

    Usifanye mchezo na hela mkuu. Hata huko White House unaona jinsi bilionea Elon Musk anapopafanya kama yuko nyumbani.
Back
Top Bottom