Recent content by Mtimkavuorg

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hizi radi leo kazini kwangu kuna kazi

    Ni kweli ata mm naogopa kweli radi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

    Kabisa mvinyo na mdudu tunatamba navyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kibali cha Ujenzi

    Naomba nipate kujua juu ya kibali cha ujenzi maana nimeendeleza ujenzi pindi nikipata pesa kama inavyojulikana ujenzi aumaliziki Sasa ninani ametoa mamlaka ya kuchora kuta za watu kisa kibali "sitisha ujenzi adi kibali"ivi mama yetu anajua kama nyumba za watu zinachorwa kila uchwao je sheria ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Madeni ya mtandao na kukopa Bank

    Kuna mahusiano gani na mkopo wa bank nina dhamana kubwa ya mwajiri wangu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Madeni ya mtandao na kukopa Bank

    Aha,ah,aha
  6. M

    JamiiForums Tanzania Madeni ya mtandao na kukopa Bank

    Siku za hivi karibuni ukiwa na mkopo kwenye ulikopa kwa kutumia namba yako ya NIDA basi upati mkopo kwenye Bank. Je ni sahihi kunyimwa mkopo wa bank eti ulikopa Kwa kutumia NIDA namba tena wanakutafuta adi waone udaiwi Sasa mtu anaweka dhamana mshahara wake bank fulani wanapekua NIDA kweli...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Salary incriment imekwenda wapi?

    Kiukweli mama na sisi watumishi wengine tunataka tupewe allowance ya maji,umeme na Kodi ya nyumba maana ata sisi tunakatwa Kodi kwanini kuwe na upendeleo na maisha ni hayahaya wote magumu!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Salary incriment imekwenda wapi?

    Niliona mwezi wa 8 shs 19000 na mwezi wa 9 naona 6000
  9. M

    JamiiForums Tanzania Picha inaongea! Msichanganye dini na siasa

    Agenda ni waraka na mkataba nasi dini
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha inaongea! Msichanganye dini na siasa

    [emoji1][emoji1][emoji1]
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mlioko Jikoni Pay Roll za August zipoje?

    23000/=
Back
Top Bottom