Recent content by mtimawachi

  1. mtimawachi

    Susana, mwanamke aliyetaka kuondoka na uhai wa Ronaldo De Lima

    Mkuu ukishasema wanawake basi Jua mama,bibi dada na wengine wenye jinsia hiyo huwezi kuwatoa. Tusiukatae ukweli
  2. mtimawachi

    Susana, mwanamke aliyetaka kuondoka na uhai wa Ronaldo De Lima

    Rekebisha hapo,Ronaldo alicheza ila alikabwa.Hii ndio mechi ambayo zidane aling'ara sana. MAPENZI HATARI SANA
  3. mtimawachi

    Nimesikia / Nimemsikia vibaya peke yangu au?

    Huko kutoshangaa kwako ndipo jibu lilipo
  4. mtimawachi

    Nadhani Simba wana mtu wao kule ndani CAF. Sielewi hizi takwimu, ina maana Eng. Hersi kashindwa kuipandisha Yanga?

    Naona wabantu wapo wawili tu hapo,au Mimi ndio sioni vizuri
  5. mtimawachi

    Mtazamo wangu kuhusu CHADEMA, CCM na Watanzania

    Mbowe si kwamba ni mbaya,ila ni muda umemuhukumu.Vilevile Lisu so kwamba. ni mzuri sana kuliko Mbowe,ila sasa ni upepo wake
  6. mtimawachi

    Mtazamo wangu kuhusu CHADEMA, CCM na Watanzania

    1:Chaguzi Dodoma vs Mlimani city. Hapa naipongeza chadema kama chama,wajumbe kama watoa maamuzi na wagombea Kwa kuwa kuonyesha utayari wa kupokea matokeo yoyote ambayo wangeyapata. PONGEZI zaidi ziende Kwa wajumbe wa chadema Kwa kufanya uchaguzi uwe uchaguzi na sio kikao. HUKU DODOMA Bado tupo...
  7. mtimawachi

    Hajawahi tokea Mwanasiasa nchini Tanzania kama Tundu Lissu! Mungu ana kusudi nae aendelee kumlinda

    Nilikuwa Sijawahi kukesha Kwa sababu za siasa,lakini Jana nimekesha
  8. mtimawachi

    PreGE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

    Leo mkono hauendi kinywani,manake waliahidiwa Ibenge akipita Wana fungu lao.Lisu kaharibu
  9. mtimawachi

    PreGE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

    Katuletea ushirikiano wa kenge,mvua imenyesha katuacha nchi kavu ye kazama majini na mabilioni yetu
Back
Top Bottom