Recent content by mtiizii

  1. mtiizii

    The potential for Tanzania to be a regional power

    Remember when you see a man at the top of a mountain, he didn't fall there! It takes time, effort and determination to climb the mountain and the same applies to success. If we think we can...if we set sound policies, legislation, and plans...and if we work diligently...we will get there. It...
  2. mtiizii

    Mwl. Nyerere alisema kama mnampenda Kikwete kanyweni naye chai - Sasa tunayaona!!

    Yawezekana misimamo yangu isipendwe na wengi...na yawezekana mtizamo wangu wa mambo usiwafurahishe wengi...lakini jambo moja ambalo sitasita sema (japo huu ni mchango wangu wa kwanza) hapa ni kuwa.... Ukianzisha mada tupe taarifa kamili. Na hii ni kwa kila suala ambalo inabidi tulijadili hapa...
  3. mtiizii

    Awamu nne, yupi bora?

    Sidhani kama kuna sababu yeyote ya kung'ang'ania kuwaweka katika mzani hawa jamaa waliopata kuishi ndani ya ikulu yetu.... La muhimu, wao na washauri wao, na watendaji wao wametuleta mpaka hapa tulipo - je tunaridhika na tulipofikia? Kama haturidhiki, tukae na kufikiri tufanye nini ili tufike...
  4. mtiizii

    Mawaziri waghushi vyeti

    Hatutaweza hata siku moja kuendelea iwapo, viongozi ambao wanahitajika kufanya maamuzi yenye ufahamu, wanafoji elimu yao. Si haba sasa makosa mengi ya kimaadili na kiutendaji yanaonekana: hawana elimu sahihi, na bora, wanapewa madaraka makubwa yanayohitaji maamuzi mazito yabebwayo na ufahamu...
Back
Top Bottom