Recent content by Mti wa Mlonge

  1. Mti wa Mlonge

    JamiiForums Tanzania Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

    Kunywa K vant kubwa 3 ntakuja kulipa
  2. Mti wa Mlonge

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

    Chap kwa haraka mil5-10 fungua game lounge. Weka ndani PS4, PS5 weka game zingine za mashine umo. Weka goli lako mjini, jirani na masoko makuu na ulipo Kisha ulete mrejesho baada ya mwaka mmoja au miezi 6 tu 🥴
  3. Mti wa Mlonge

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azifi kuwafunga Midomo UVCCM na Wabunge wa CCM wenye chuki na Lema na Upinzani

    Mi japo cjaiskiliza iyo video kutokana na ufinyu wa bajeti za MB. Mkuu naomba kuuliza. Uyo ni mamaako? Tuanzie hapo
  4. Mti wa Mlonge

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azifi kuwafunga Midomo UVCCM na Wabunge wa CCM wenye chuki na Lema na Upinzani

    Mi japo cjaiskiliza iyo video kutokana na ufinyu wa bajeti za MB. Mkuu naomba kuuliza. Uyo ni mamaako? Tuanzie hapo kwanza
  5. Mti wa Mlonge

    JamiiForums Tanzania Dereva Bajaji ana Maisha Mazuri Kuliko Watumishi wa Umma

    Huku mtaani dereva Bajaj anataman kuwa mtumishi wa umma. Ulichoandika ni sawa na yule mtu anaekwambia kalime mpunga ekari 5 kwa mtaji wa 5M Kisha mwisho wa mavuno utapata 40M 🥴 weee unaijua iyooo!? Mi naijua iyoo!
  6. Mti wa Mlonge

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Mkuu kwani unatumia sim aina gani..Tuanzie hapo. Sasa utakuta sim unayotumia mwanzilish alikua ni shoga utaitupa? 🥴
Back
Top Bottom