Recent content by Mti mkavu01

  1. M

    Mkopo awamu ya pili tayari au bado

    Dear Applicant, allocation of loans for academic year 2022/2023 is on going. You are advised to visit your ‘SIPA’ by October 27th, 2022. (Ndugu mwombaji, upangaji mkopo kwa mwaka wa masomo 2022/2023 BADO UNAENDELEA. Tafadhali tembelea tena akaunti yako ya ‘SIPA’ ifikapo Oktoba 27, 2022.)
  2. M

    Chuo cha TEKU kinaconfirm watu wenye multiple selection bila idhini yao, TCU kichukulieni hatua

    Kuna ubaya gani ukisema huyo dgo ni wewe Kijana bure kabisa wew
  3. M

    Nipande daladala gani kutoka Mwenge TRA kwenda Kawe beach?

    Wakuu msaada wenu wa haraka Nipo Mwenge TRA nipande gari gani nifike Kawe Beach?
  4. M

    Galaxy Note 10 Plus Battery temperature

    Leo nimeiweka kwenye jua kama masaa mawil hv lakn wap tatz liko pale pale
  5. M

    Galaxy Note 10 Plus Battery temperature

    Mkuu niko kwenye maeneo ya Joto still inaniandikia phone temperature is too low
  6. M

    Galaxy Note 10 Plus Battery temperature

    Circuit nzima ya nn mkuu nielekeze vizur??
  7. M

    Galaxy Note 10 Plus Battery temperature

    Wakubwa Habari... Naomba msaada kwenye hili, Sim yangu SAMSUNG GALAXY NOTE 10 PLUS imekuwa inanisumbua kila nikichomeka charge inaandika Battery temperature is too low na haipeleki charge Nifanye nini ili niondoe tatizo hili Chief-Mkwawa
Back
Top Bottom