Mahakama kuu ya Tanzania masijala ya DSM katika kesi No. 31 (kesi ya kupinga muswada wa siasa) ya mwaka 2018 ,Zitto Kabwe, Salim Bimani na Joran Bashange dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imetoa ruling kwamba mawakili upande wa serikali wanapaswa kulete utetezi wao wa maandishi ndani ya siku...
Mahakama kuu ya Tanzania masijala ya DSM imeahirisha kesi No. 31 ya mwaka 2018 ,Zitto Kabwe, Salim Bimani na Joran Bashange dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali hadi sa nane leo 04.01.2019 ambapo itatoa ruling. Wakili wa serikali aliomba kuongezewa muda wa siku 21 kinyume na kanuni (BRADEA...
Hello ndugu mpenda haki za binadamu na mwanademokrasia nakusalimu sana.
Nakutaarifu kuwa leo Januari 3, 2019 nimefanya tafsiri isiyo rasmi ya Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama Vya Siasa uliotolewa Bungeni Jijini Dodoma Oktoba 15, 2018.
Muswada huu kwa maoni yangu kwa mujibu wa ibara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.