Haya ndio mambo ya Dunia hii katika utawala wa Wadunia wanaojipangia mambo yao ilimradi tu usawa, haki na amani vizingatiwe kwa wakati unaofaa hivy basi Lowasa kuhamia CDM ni usawa , haki amani .
Hawa wanaharakati wetu na police ni tatizo make wanafanyakazi kama wapitanjia wakutanapo na ajali sanasana wakikosa cha kupora huwa wananabaki kushangaa na kutoa hadithi za huyu kafanyahivi na vile so far hawa ndio chanzo cha matatizo nafikiri hizi hasasi chanzo chake ni maisha.
Hapana mzee hili si tangazo ila nimevutiwa na hali ya usala hapa mtaani make vibaka wamedhibitiwa kwa hali ya juu kiasi kwamba yale matukio tuliyoyazoea kuyasikia hayapo na hili leo kila mwananchi hapa sanawari au ukupita kila kijiwe au kwenye makazi ya watu ni stori na hili limejitokeza leo...
Hapa mjini Arusha katika mtaa wa SANAWARI pamekuwa na hali ya usalama kwa muda mfululizo miaka mitatu sasa na hii inatokana na kuanzishwa kwa kampuni ya Ulinzi ya BLACK WHITE SECURITY ambayo makao yake makuu ni hapahapa Sanawari hivyo wananchi hasa wa wananchi wanaofanyabiashara pembezoni mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.