Recent content by Mtenda Miujiza

  1. M

    JamiiForums Tanzania Shekh aliyeshitakiwa kulawiti watoto 22 Arusha ashinda kesi, aeleza kwa uchungu

    Huna akili tatizo ni ulawiti sio uchaga wala umakonde!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya malipo Tanzania inaongeza watu kuwa wavivu makazini

    SERIKALI YETU INA MAMBO YA AJABU SISI TUNAOFANYA KAZI KWA "WAHINDI" NIGHT ALLOWANCE NI TSHS (800) MIA NANE TUU KWA USIKU MMOJA,HUKU UNAKESHA MASAA 12 USIKU WOTE UKO MACHO.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri Spika Ndugai ajiuzulu

    Ni wakati wa machungu kwake!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mtu anapopoteza fahamu anakuwa wapi?

    Anakuwa kwenye usingizi mzito sana wa kukaribia kifo!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kurogewa viwakilishi vya starehe?

    Hapana mtani itabidi nikutafute inbox,siku nikiwa vzr unipe ushauri tafadhali,nini nifanye??¿
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kurogewa viwakilishi vya starehe?

    Tupo wengi mtani tuna tatizo la kunywa kupitia kiasi,kuhsribu mali na aibu za kila namba.Mimi nalewa sana ila matokeo ni mabaya sana,Nina miaka 54 Sasa hvi ila starehe yangu kubwa ni pombe halafu wanawake. Mshana simu ambanzo nishspoteza na ndugu na mke wangu kuniuliza simu Iko wapi ni 9 Hizo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Corona bado inafikirisha sana

    Mazoezi yanasaidia sana vitu vingi!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi rahisi kuiongoza

    Mama yupi unazumzungumzia mkuu?? Kumbuka upole na Huruma ya wamama!!
Back
Top Bottom