Recent content by mtemiwao

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Obama: Kenya says 'All lions in Tanzania are Kenyan'

    Hawa wakenya tuwape ccm ndo inaendana nao waache kutamani ovyoovyo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Denis Msacky katoe sadaka ya shukrani kanisani

    Uko sahihi,msacky ndo ilikuwa target ili movie ya lwaks ibambe...mungu ni mkubwa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

    Tatizo la chadema wako cheap sana,ccm wala hawapati tabu kuwagawa...kuanzia baadhi ya viongozi wa makao makuu ni wachumia tumbo
  4. M

    JamiiForums Tanzania uongo wa CCM na matumizi mabaya ya vyombo vya habari Chato

    Kila kadi imekost 30,000/-habari ndo hiyo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha mauaji ya mfanyabiashara ni hela

    Polisi imeingilia kati ili ripoti isitoke...up todate sasa hv marehemu ndo anazikwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha mauaji ya mfanyabiashara ni hela

    Wingu la sintofahamu kuhusu kifo cha mfanyabiashara wa madini aliyedaiwa na polisi kujiua mkoani Geita (runzewe) baada ya ndugu wa marehemu kukataa kuuzika mwili wa marehemu mpaka uchunguzi (postmortem) ufanyike na hela zinazokadiriwa 300m alizokuwa nazo nyumbani kwake zilichukuliwa na polisi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rufaa: Barua ya Mtela Allamu Mwampamba kwa katibu mkuu wa CHADEMA taifa hii hapa

    Na huyu ndo alitaka kuwa mbunge...huu ubunge sasa umekuwa jalala...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Umeya Bukoba: Mangula ageuka mbogo; awataka wasiomtaka Amani kurudisha kadi

    Safi mangula...siasa bila ubabe haiendi popote...ona cdm wanabembelezana na waasi kwenye chama halafu waasi wenyewe watoto
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtela Mwampamba kuanika ukweli kuhusu Masalia na muasisi wa PM7 leo tar. 21-1-2013, EATV (Hot-Mix)

    Sasa we mwampamba eatv ndo rufaa?ndo maana watoto wetu wanafeli kama walimu ni wa aina hii!s..p..d
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wapiga kura jimbo la Iringa Mjini wamshangaa mbunge wao, Msigwa ana kazi kubwa kutetea kiti chake

    Chilisosi haina akili imechacha ndugu kajipange magamba hatununui cheap politics
  11. M

    JamiiForums Tanzania Muundo wa Utawala/Muungano hauwezi kuwa Sera au Ilani ya Chama cha Siasa

    Serikali moja na utawala wa majimbo ndo suluhisho
  12. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

    Zitto yupo kwenye mapokezi??au atasema wamemtenga!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio Habib Mchange

    Sijawahi ona vijana wapumbafu kama hawa...mungu tusaidie!!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Poor zzk and co
  15. M

    JamiiForums Tanzania Huyo ndiye Ben Saanane na majibu ya Zitto

    Hawa vijana wa chadema bure kabisa njaa zinawasumbua na jinsi tunavyoelekea 2015 wanajf mtaona maajabu,hela ccm tayari imesambaa kila mahali na aina ya vijana wa chadema ninaowajua ni w3achache sana wa kuweza kuhimili huu mziki wa ccm....tatizo hawa vijana hawakufanyiwa vetting kabla ya kupewa...
Back
Top Bottom