Wadau naombeni msaada ninatatizo la fugus zaidi ya miaka 12 sasa iliyopo chini ya ngozi za kende zangu na mpaka mapajani inawasha sana mpaka inafika kipindi najikuna natoja na vidondo na kuna mda vinakauka na kuacha magamba na maumivu makali nimejalibu vidongo wapi dawa za tube kupakaa wapi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.