Recent content by MTEMISHIJA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao bado mko njiani, mimi nimesharipoti chuo cha... Na ili usajiliwe wanataka vitu vif...

    Habari zenu WAKUU, nimeona vema tushirikishane katika hili kwa sababu kuna jamaa zangu kadhaa tumekuwa tukiwasiliana ili kuulizana na kujuzana ni yapi yanaweza kuwa ni mahitaji ya msingi ili uweze kudahiliwa bila ya kupata usumbufu na changamoto nyingine nyingi ambazo zinaweza kujitokeza pindi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mahitaji muhimu ili usajiliwe chuoni

    Habari zenu WAKUU, nimeona vema tushirikishane katika hili kwa sababu kuna jamaa zangu kadhaa tumekuwa tukiwasiliana ili kuulizana na kujuzana ni yapi yanaweza kuwa ni mahitaji ya msingi ili uweze kudahiliwa bila ya kupata usumbufu na changamoto nyingine nyingi ambazo zinaweza kujitokeza pindi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanasema tujiajiri wao mbona hawajiajiri?

    Yaan wewe maneno unayotupiwa yangekuwa mishale, basi ni mvua, huponi hata kwa uchawi..... huna pointi!!!!! la maana ulilotoa na unalotakiwa kutoa siku zote za maisha yako ni USHAURI. Ondoka. Sio "mimi napingana na... mwa mwa mwa........ wewe fikiria mwa mwa mwa......" zaa wanao wasomeshe ndio...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanasema tujiajiri wao mbona hawajiajiri?

    Leo ni miaka mingapi tangu uhuru (wadigitali ukiwemo wewe,,, uhuru ni mwaka 1985).?? Thegame mko wangapi, mliopitia njia kama yako??? Mkifika robo tu ya jumla ya vijana wote kwa sensa ya 2012 KWA KUZIONEA HURUMA FIKRA ZAKO FINYU, NDIO NTAKUUNGA MKONO!!!! Mlipaswa kuwa mamilioni Wewe Thegame kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi.....usipitwe na hii, usije ukalaumu watu.

    Nafasi za kazi katika Kampuni la maswala ya teknolojia.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bora kusoma chuo kizuri au kozi nzuri

    Mkuu, Ni bora usome faculty/kozi nzuri, chuo kizuri it doesn't matter ni chuo gani hata kama ni cha "TUPO GHOROFA YA 3, KORIDO LA KUSHOTO". Na tukitafuta maana ya fuculty/kozi nzuri kwa sasa, asilimia kubwa italalia kwenye zile wakuu wa kaya "serikali" wanazo ziita "NATIONAL PRIORITY" kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania MAJINA 12,867 ya wale ambao hawakuchakuchaguliwa na TCU raundi ya kwanza

    sasa kama ya waliochaguliwa mnayaliliaaaaaaaaa.... na hayatoki!!!! tuwape nini sasa, chukueni hayooooo...kama hamyataki printini mkafungie maandazi na vitumbua, yakija mnayoyataka printini mkatunze kwenye mabegi. hihihihhhiiiiiiiiiiiiiiii,,,,,,,,,,,,,,,,,,
  8. M

  9. M

  10. M

    JamiiForums Tanzania MAJINA 12,867 ya wale ambao hawakuchakuchaguliwa na TCU raundi ya kwanza

    sasa kama ya waliochaguliwa mnayaliliaaaaaaaaa na hayatoki!!!! tuwape nini sasa, chukueni hayooooo, kama hamyataki printini mkafungie maandazi na vitumbua, yakija mnayoyataka printini mkatunze kwenye mabegi. Hihihihhhiiiiiii..
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo Katika Web Ya TCU

    Hapana wakuu, yaani, chanzo cha kuwepo 1st na 2nd selection ni wale 12,867 waliokosa kuwa selected na system 7bu ya "kompetition kubwa katka kozi na vyuo walivyoomba V/S Ufaulu wao mtu m1 m1", sasa kwa kuwa wameambiwa wabadilishe au wavumilie kama vyuo vitaongeza slots, kwa wale ambao...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo Katika Web Ya TCU

    Ni kweli, ila kwa mujibu wa tamko rasmi la taasisi husika (NACTE & TCU) WAMESEMA UKIACHA watu wa diploma na cetificates, waombaji wa undergraduate wanatangazwa na vyuo kwa utaratibu ambao si rasmi kwa sababu ambazo wamesha sisema tangu jana. Ndo maana utakuta majina unayokuta kwenye web za vyuo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo Katika Web Ya TCU

    Tulia, bado hawajapost mkuu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tovuti ya TCU iko hewani sasa

    Mi bando hii ikiisha sina tena hela jamani, na nimejiunga iishe saa 12 jioni mida ya kufunga maofisi yao.Sijui ntafanyaje???
  15. M

    JamiiForums Tanzania MAJINA 12,867 ya wale ambao hawakuchakuchaguliwa na TCU raundi ya kwanza

    Kama profile yako inasomeka hivi PROCESSED SUCCESSFULLY.YOU HAVE BEEN SELECTED pale chini kabisa ya my selection status, haumo kwenye orodha hii. TUKAZE MWENDO.
Back
Top Bottom