Recent content by Mteme

  1. M

    Wabunge wa CCM Wakibadili Mawazo Bungeni Nitarudisha Kadi yangu ya CCM Siku Hiyo Hiyo!!

    Chris, mimi ni mwana CCM mwenzako, nakuunga mkono kwa ushauri mzuri. Siku zote tuweke maslahi ya Taifa letu mbele na si binafsi wala itikadi zetu hususani katika suala hili muhimu la katiba ya watanzania wote. Kuna baadhi ya watu wanajisahau na kufikiri Tanzania ni ya chama fulani, la hasha ni...
  2. M

    Vyuo vikuu wampendekeza January Makamba kuwa Rais ajaye

    Duuh usomi wa Tanzania unakuwa ni balaa sasa. Je, ni kwasababu mfumo wetu wa elimu ni mbaya kiasi hicho mpaka wanaojiita wasomi kukurupuka hivyo? Kwa msomi aliyebobea hawezi kuja na kichekesho cha namna hii. Msomi anapaswa kufanya utafiti kwanza. Msomi gani anapiga kura ikawa ndiyo jibu lake...
  3. M

    Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana, Pole sana Dr. Slaa...

    CCM tumekwisha Kama kweli tunaviongizi kama Mwigulu, uzalendo gani ulionao kwa wna Iramba na nchi? Kuwarubuni watu wasiende kutoa maoni ya katiba yao? Jiulize swali rahisi, unafikiri watu walifuata nini kama sio kuangalia wachezaji wa Simba? Hivi ni kweli mtu mwenye kichwa kinachofanya kazi...
  4. M

    Tahadhari: Sakata la Sheikh Ponda lisifanyiwe siasa!

    Duuuh, kwahiyo suala la kupigwa Ponda lilikuwa na baraka ya nani Kama sio waliokuwa na bunduki? Dhamira hukosesha raha mtendaji wa jambo. Maneno yako yanaonesha dhamira ya kutenda uovu inakusumbua. Pole!
  5. M

    Hongera CCM

    Juliana, mimi ni mwana-ccm ila analysis uliyoifanya ina leta maswali mengi na hatustahiri kujipongeza abadani. Tungeweza kujipongeza kama tusingepoteza kata yoyote kwa wapinzani. Tungeweza kujipongeza kama angalau hata tungeongoza kwenye baadhi ya vituo huko Arusha. Juliana hujatoa takwimu ya...
  6. M

    Mwenyekiti wa Madiwani Wilaya ya Chamwino Dodoma afariki Dunia

    Mh Hoya, umetutoka Wakati mchango wako bado tunauhitaji sana. Hakika nimeanza kuamini kuwa watu wema huondoka mapema sana. Daima tutakukumbuka bro.
  7. M

    Dr. Kitila Mkumbo: More of the same; A comparison of the actual and political standardised results

    Thanks Dr Mkumbo, there you are now. Differentiating the two terms makes me comfortable Dr. Respect!
  8. M

    Dr. Kitila Mkumbo: More of the same; A comparison of the actual and political standardised results

    Pole Kijakazi, Science is a process, Science is a method of thought. In doing a research some one uses scientific methods. So, Dr Mkumbo was doing a scientific analysis. Kwa hiyo kama unafikiri sayansi ni bailojia, kemia you should be out of track in research discipline Kijakazi.
  9. M

    Dr. Kitila Mkumbo: More of the same; A comparison of the actual and political standardised results

    Mwasi, Dkt Mkumbo angekuwa amezungumza tu generally bila kujaribu kufanya analysis ya kisayansi jibu lako lingekuwa sahihi, lakini unapofanya analysis ya kisayansi ambayo inakupelekea kutoa hitimisho, ambalo hilo hitimisho linaweza kuja kutumika na watafiti wengine, kwa hitimisho hili...
  10. M

    Dr. Kitila Mkumbo: More of the same; A comparison of the actual and political standardised results

    Uko sahihi sana 'Tume ya Katiba', huwezi kusema hakuna difference unless umetafuta effect size ambayo itakuonesha magnitude ya ulinganishi wa matokeo hayo. Anaweza kutumia Cohen'd d kutafuta effect size hiyo. Na common interpretation ya effect size ni hii hapa. 0.2 = small, 0.5 - medium na 0.8 =...
  11. M

    Dr. Kitila Mkumbo: More of the same; A comparison of the actual and political standardised results

    Dkt Mkumbo, Uchambuzi wako ni mzuri na nimeupenda sana hususani kipengele cha kutaka kujua kama kuna 'significantly difference' ya matokeo ya awamu ya kwanza na ya pili. Ingawa katika kutafuta significant difference, kuangalia percentage difference, au means differnce tu na kuja na conclusion...
  12. M

    Mulugo: Adhabu ya viboko kwa wanafunzi shuleni itarudishwa ili kujenga nidhamu

    Naibu waziri wangu, Mulugo, mbona unaendelea kulitia doa taifa letu? Hivi umechanganyikiwa na nini? Umenukuliwa vibaya au ndivyo ulivyosema? Kamwe siwezi kuamini kama matamshi haya yametoka kwa mtu mwenye dhamana ya Elimu katika nchi yangu. Waziri wangu, umejitaabisha hata kidogo tu kusoma...
  13. M

    CHADEMA: Usalama wa Taifa unatengeneza Ushahidi katika kesi ya Lwakatare

    Kama ayasemayo Tundu Lisu yana ukweli, basi Tanzania demokrasia ni zero. Kuanzishwa kwa vyama vingi ni kukuza demokrasia nchini, sasa kama kushindana kwa hoja kunashindikana na kuanza siasa taka ni hatari sana. Watawala wetu wawe na huruma kwa watawaliwa jamani. Hivi vyama vyote hata...
  14. M

    Wageni Ndiyo Tutakaoukomboa Mkoa Wa Dodoma

    Acha pumba, mkoa unaotoka una nini cha kujivunia. Think before you lip!
  15. M

    Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

    Duuh ama kweli hata madaktari siku hizi uwezo wa kufikiri umepungua. Ni kweli unaweza kutoa kauli ya namna hiyo ikawa ndo suluhisho? Naogopa sana
Back
Top Bottom