Mkuu Watu hatari sana! Tumekua tunapata msaada wa madaktari wa kujitolea kutoka Cuba for decade hakuna aliyehoji na wapo kwenye hospital za serikali performing excellent. Iweje dawa zao tunahoji.
Sijui wa Tanzania tumerogwa na nani! Upo sahihi sana mkuu,watu day in day out wanahangaika kutibiwa across the world with out sijui Wizara kuhusika, leo anatokea mwakilishi wa nchi kutimiza moja ya majukumu yake ili tuletewe dawa na wataalam wa kututibia kuja nchini imekua shida,kizazaa...
Mwizi anawaibia wakulima anakamatwa kisha ana ambiwa arudishe pesa! What's next akitoka anarudi ofisini endelea na kazi!
Tuache UCHAWA wa kitoto hapo mfumo ni ule ule. Vipo wapi vyombo vya usalama kudhibiti wizi huu! Hii sio kazi ya Waziri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.