Naona umeandika ivii kusudi uwe na maisha marefu huu uzi wako maana ungeandika moja kwa moja unachomaanisha ungekuwa ushaftwa apa saivi,,,, nishakuelewa....... Ila ndio ivooo akuna tena ishuu wamefanikiwa hao wakubwa kufanya mambo yao tusubir watanganyika waamue
Sasa nyie UVCCM yaaan munatoa matamko kama hayo inaonyesha jinsi gan saivi nchi imeshikwa na manyumbu... Nyie munasema ivo kama nan!? Sheria za kutuliza maandamano munazijua au nyie ndio munataka kukinukisha iyo Sikh ionekane watu tulikuwa tnavunja amani!? Yaan ***** nikikuotea iyo siku una...
''Nimewaletea chuma,'' hii kauli hata ukimuangalia alivyokuwa anaisema alikuwa anaisema tuu hana jinsi kwa vile mkapa ma mwinyi walipitisha jina la huyu baba jesca hata kikwete hakuwa na raha kabisa na hilo jina alijua jamaa hafai kabisa kuwa top wa nchi coz ananyege mkurupuko saaana
Atachonga sana tuuu lakin hakuna asiyejua yeye ni mwoga kuliko mtu wowote yule apa tz sasa kazi anayo ya kusimamisha hayo maandamano hakuna hata mwenye mipango na hiyo mijikwara yake 26/4/2018 #Tanzaniarevolutionontheair
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni ishara ya kuwa niko tyr kumkabidhi bandar zote jet Lee kama ilivoada maaana sina jinsi na siwezi kupata hiyo jinsi([emoji54])
Kwan ukibaki hai wewe na wazee wako huko kwenu kuna nni!!!? Usituletee mambo ya ajabu wewe ningekuwanayo naniiiih ningekutundulisu wewe kaa na ujinga wako na familia yako[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]
Saivi aliko anchezea mabanzi ya kutosha,,,,!!!!! Akiachiwa uyooo utakuja kusema alikuwa anasubilia game ya juve na Tottenham iishe ajitokeze[emoji23][emoji23][emoji23] yaan inakera uku inachekesha huu upuuzi wao wanaotuletea kwenye nchi ya aman kama hii tuliyokaizoea,,, mbona tunarudishwa mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.