Recent content by Mtauwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto "mpya" ya kakobe yaitesa ukawa!

    Huu ni uongo uliopitiliza, jumapili nimekuwepo kanisani, yaani hata kitu ukawa hakijatamkwa, wewe mleta thread, una hila tu na pengine unataka kuoanisha mambo kwa akili zako mwenyewe, kama yamekushinda kalale sio kuleta habari za kizushi. JF is the home of great thinkers, wewe naona umevamia
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mr Nice now blames God for his downfal

    MUNGU hafurahii pesa za udhalimu, unapewa nafasi nyingine ya kuishi ili UOKOKE mr. Nice lakini usipojua hili utaendelea kulalamika hadi mwisho.
  3. M

    JamiiForums Tanzania BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

    Na huyu mtumishi wa MUNGU Kakobe ni hazina ya taifa tuliyopewa na MUNGU.
  4. M

    JamiiForums Tanzania BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

    It is a machine which can't be stopped, wanadhani ni Ulimboka au kibanda wanayeweza kumng'oa kucha
  5. M

    JamiiForums Tanzania BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

    Na dini bungeni??? JF ni sehemu ya great thinkers, utakuwa umevamia humu, sio mahali pako aisee.
  6. M

    JamiiForums Tanzania BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

    Amerudia kauli hii ya kutotaka hata uwaziri wa kuteuliwa mara kadhaa, hana mpango huo, kazi yake ni kuhakikisha kuna usawa katika uendeshaji wa siasa ya demokrasia nchini, sio upande mmoja kumkandamiza mwingine na kusema hiyo ndiyo siasa safi. KAKOBE KUGOMBEA NAFASI YOYOTE YA KISIASA FUTA KABISA...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    -------- hata ukimtwanga kwenye kinu upumbavu wake hauwezi kumtoka" " sio mimi ni maandiko yako kwenye biblia, nakupa kazi utafute, wapo wengi walitangulia kusema kama wewe wkaonywa hawakusikia, walipoishia, hakujulikani, na wewe unaelekea huko huko. Huyu ni Mtumishi MUNGU
  8. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Fanya utafiti yakinifu kwanza usiwe mvivu wa kutafuta taarifa, magari ya kifahari yako wapi??Kakobe kama Kakobe hana gari alilolinunua, gari lililopo sasa analolitumia hivi sasa ni gari moja la V8 ambalo washirika wenyewe walilinunua na kumpa jumapili katika Ibada, hakuna siri ya watu wawili...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Anzisha na wewe kama unaweza
  10. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    mawazo yako na akili yako finyu ya kupembua mambo ndiyo inayokufanya useme hivyo, ungelijua umuhimu wa Bunge la katiba kwa kila kundi ungelifahamu lakini kwa sababu, hupendi kuishughulisha akili yako ndio maana unazumza hovyo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Haupiti aisee, hata Ngeleja ametoka mamlakani analielewa hili
  12. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Mwanafunzi hampiti mwalimu, ikiwa maneno yake YESU, aliye mwalimu yamepuuzwa, watu ni wezi, wazinzi, waongo, wachawi n.k kama walivyo miongoni mwenu wachangiaji sembuse mwanafunzi wake (Kakobe). Kupinga au kutokupinga hakubadili hata nukta katika taarifa iliyoletwa, lilikuwa suala la kupokea tu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Wewe ndiye hujielewi maana hata hujui kinachozungumzwa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Kwa asiyejua uwakilishi maana yake nini kwenye suala muhimu namna hii ataendelea kuandika upuuzi bila kujali mantiki ya kinachozungumzwa kwenye waraka huu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Ni uvivu wako kuchunguza maandiko ndio maana unaonekana mropokaji tu wewe
Back
Top Bottom